Dkt. Wilbroad Slaa atumia lugha kali dhidi ya Rais Samia

Naandika Rashda binti Zunde[emoji3578]

Watanzania amkeni, Watanzania amkeni tupinge watu kama hawa wanaotusi viongozi wa nchi hadharani. Tuungane kukemea vitendo kama hivi huu ni udharirishaji wa Rais wetu, huwezi kutoka hadharani kusema "hoja za rais ni za kipumbavu".

Wote tunajua kwamba Rais Samia Suluhu ameweka wazi dhamira yake ya kuhakikisha kwamba katiba mpya inapatikana na tayari mchakato umeanza, hivi awamu gani iliwasikiliza chadema kama sio hii ya Mama Samia ?

Mchakato wa Katiba si wa siku moja, serikali imeshaanza mchakato, mmeshirikishwa, na sasa ni kutoa elimu kwa wananchi jambo ambalo serikali tayari ilishaweka wazi kwamba zaidi ya 50% ya Watanzania hawajui kuhusu katiba hivyo ni lazima wapatiwe elimu.

Lazima kila Mtanzania aelewe nini kinaenda kufanyika na ndicho serikali inachofanya, sasa wewe Slaa unavyokuja kusema kwamba hoja za Rais Samia Suluhu ni za kipumbavu umekosea sana, ni dhahiri kwamba hujafuatilia nini kinaendelea umekurupuka.

#mamaanafanikisha uhuru wa maoni lakini sio kutoka hadharani kumtusi kiongozi wako wa nchi, Slaa kaa chini tafakari kabla ya kuzungumza mbele za watu. Unajidharirisha kila siku na ndio maana umevuliwa ubalozi sababu huna hadhi na hakuna balozi mwenye tabia kama zako.

Tena wew ndo mbumbumbu kabisa hujui chochote ..... umeandika utumbo mtupu ....peleka uchawa lumumba
 
Samia kama Jakaya tu

anakufinya huku anatabasamu …Mzee Povu linamtoka tu sasa
 
Naandika Rashda binti Zunde✍️

Watanzania amkeni, Watanzania amkeni tupinge watu kama hawa wanaotusi viongozi wa nchi hadharani. Tuungane kukemea vitendo kama hivi huu ni udharirishaji wa Rais wetu, huwezi kutoka hadharani kusema "hoja za rais ni za kipumbavu".

Wote tunajua kwamba Rais Samia Suluhu ameweka wazi dhamira yake ya kuhakikisha kwamba katiba mpya inapatikana na tayari mchakato umeanza, hivi awamu gani iliwasikiliza chadema kama sio hii ya Mama Samia ?

Mchakato wa Katiba si wa siku moja, serikali imeshaanza mchakato, mmeshirikishwa, na sasa ni kutoa elimu kwa wananchi jambo ambalo serikali tayari ilishaweka wazi kwamba zaidi ya 50% ya Watanzania hawajui kuhusu katiba hivyo ni lazima wapatiwe elimu.

Lazima kila Mtanzania aelewe nini kinaenda kufanyika na ndicho serikali inachofanya, sasa wewe Slaa unavyokuja kusema kwamba hoja za Rais Samia Suluhu ni za kipumbavu umekosea sana, ni dhahiri kwamba hujafuatilia nini kinaendelea umekurupuka.

#mamaanafanikisha uhuru wa maoni lakini sio kutoka hadharani kumtusi kiongozi wako wa nchi, Slaa kaa chini tafakari kabla ya kuzungumza mbele za watu. Unajidharirisha kila siku na ndio maana umevuliwa ubalozi sababu huna hadhi na hakuna balozi mwenye tabia kama zako.

Amesema vyema
Tusi liko wapi hapo?
Tunataka
Katiba Mpya ya Warioba ileee tulipigwa pesa ndefu sana
Mkataba wa Bandari wa kimagumashi ufutwe
Tunataka nchi yetu
Sasa wapi tunakosea
Nchi ipo ICU
 
Kwahiyo ni viongozi wa ccm au wananchi wote?
Viongozi waliochaguliwa na watu waliowaamini, wengine mliochagua upande wa pili hamna budi kwenda na flow tu ya CCM, mjiandae na next election ndio mkishinda mtaingiza sera zenu na CCM itabidi wawavumilie tu. Mkishindwa tena hakuna budi mvumile, wakati wa kuwajibisha viongozi ni wakati wa uchaguzi tu, wakipita wana haki ya kutekeleza waliyosema kwenye sera zao. Kukubaliana au kutokubaliana inakuwa sio issue tena.
 
hao bila kupewa kesi umaarufu wao unashuka.ndo maana wanafanya kila jambo ili wapewe kesi.samia ana mapungufu yake makubwa sanaa.ila bora yeye kuliko aliyepita.samia usije ukawabana matajiri wao wakila kuna punje zinaanguka na sisi huku sisimizi tunapata rizki
 
Naandika Rashda binti Zunde✍️

Watanzania amkeni, Watanzania amkeni tupinge watu kama hawa wanaotusi viongozi wa nchi hadharani. Tuungane kukemea vitendo kama hivi huu ni udharirishaji wa Rais wetu, huwezi kutoka hadharani kusema "hoja za rais ni za kipumbavu".

Wote tunajua kwamba Rais Samia Suluhu ameweka wazi dhamira yake ya kuhakikisha kwamba katiba mpya inapatikana na tayari mchakato umeanza, hivi awamu gani iliwasikiliza chadema kama sio hii ya Mama Samia ?

Mchakato wa Katiba si wa siku moja, serikali imeshaanza mchakato, mmeshirikishwa, na sasa ni kutoa elimu kwa wananchi jambo ambalo serikali tayari ilishaweka wazi kwamba zaidi ya 50% ya Watanzania hawajui kuhusu katiba hivyo ni lazima wapatiwe elimu.

Lazima kila Mtanzania aelewe nini kinaenda kufanyika na ndicho serikali inachofanya, sasa wewe Slaa unavyokuja kusema kwamba hoja za Rais Samia Suluhu ni za kipumbavu umekosea sana, ni dhahiri kwamba hujafuatilia nini kinaendelea umekurupuka.

#mamaanafanikisha uhuru wa maoni lakini sio kutoka hadharani kumtusi kiongozi wako wa nchi, Slaa kaa chini tafakari kabla ya kuzungumza mbele za watu. Unajidharirisha kila siku na ndio maana umevuliwa ubalozi sababu huna hadhi na hakuna balozi mwenye tabia kama zako.

HE HAS 70+yrs, TUNAWEZA KUONA JINSI GANI AKILI ZAKE ZINAWEZA KUWA!
 
Si muachane naye, yanini kumfuatilia neno kwa neno ?

Vunjeni huo mkataba wa bandari muone kama kuna mtu ataongea maneno magumu.
We sema tu uwezavyo utakavyo hakuna atakaeshughulika na wewe kwenye utambulisho fake hapa

Subirini zamu yenu itafika mtafanya hayo mema mnayotuhubiria hapa kila kukicha
 
Back
Top Bottom