Dkt. Wilbroad Slaa atumia lugha kali dhidi ya Rais Samia

Naandika Rashda binti Zunde[emoji3578]

Watanzania amkeni, Watanzania amkeni tupinge watu kama hawa wanaotusi viongozi wa nchi hadharani. Tuungane kukemea vitendo kama hivi huu ni udharirishaji wa Rais wetu, huwezi kutoka hadharani kusema "hoja za rais ni za kipumbavu".

Wote tunajua kwamba Rais Samia Suluhu ameweka wazi dhamira yake ya kuhakikisha kwamba katiba mpya inapatikana na tayari mchakato umeanza, hivi awamu gani iliwasikiliza chadema kama sio hii ya Mama Samia ?

Mchakato wa Katiba si wa siku moja, serikali imeshaanza mchakato, mmeshirikishwa, na sasa ni kutoa elimu kwa wananchi jambo ambalo serikali tayari ilishaweka wazi kwamba zaidi ya 50% ya Watanzania hawajui kuhusu katiba hivyo ni lazima wapatiwe elimu.

Lazima kila Mtanzania aelewe nini kinaenda kufanyika na ndicho serikali inachofanya, sasa wewe Slaa unavyokuja kusema kwamba hoja za Rais Samia Suluhu ni za kipumbavu umekosea sana, ni dhahiri kwamba hujafuatilia nini kinaendelea umekurupuka.

#mamaanafanikisha uhuru wa maoni lakini sio kutoka hadharani kumtusi kiongozi wako wa nchi, Slaa kaa chini tafakari kabla ya kuzungumza mbele za watu. Unajidharirisha kila siku na ndio maana umevuliwa ubalozi sababu huna hadhi na hakuna balozi mwenye tabia kama zako.

huyo mama Abduli mnafki.
 
Sasa niambie hao wanaoipiga kelele wanatakuja kuishi maisha ya kimaskini? hao maaskfofu tu hawaishi kama waumini, kiongozi mkuu wa kanisa Catholic tu Papa haishi kama waumini. Ni kawaida dunia nzima ni kama wewe maisha yako bora kuliko mfanyakazi wako. Cha ajabu nini? hawa viongozi wamechaguliwa hawafai usiwachague. Kelele hizi ni bure tu.
Kwani hao waliyowachagua waliwauzia na hii nchi kuwa mali yao kwamba tusiongee lolote? Hawajachaguliwa ili kuishi kifahari tu bali kutumikia wananchi, kama kelele za waliyowachagua ni bure tu sasa watakuwa wanasikiliza kelele za nani?
 
Naandika Rashda binti Zunde✍️

Watanzania amkeni, Watanzania amkeni tupinge watu kama hawa wanaotusi viongozi wa nchi hadharani. Tuungane kukemea vitendo kama hivi huu ni udharirishaji wa Rais wetu, huwezi kutoka hadharani kusema "hoja za rais ni za kipumbavu".

Wote tunajua kwamba Rais Samia Suluhu ameweka wazi dhamira yake ya kuhakikisha kwamba katiba mpya inapatikana na tayari mchakato umeanza, hivi awamu gani iliwasikiliza chadema kama sio hii ya Mama Samia ?

Mchakato wa Katiba si wa siku moja, serikali imeshaanza mchakato, mmeshirikishwa, na sasa ni kutoa elimu kwa wananchi jambo ambalo serikali tayari ilishaweka wazi kwamba zaidi ya 50% ya Watanzania hawajui kuhusu katiba hivyo ni lazima wapatiwe elimu.

Lazima kila Mtanzania aelewe nini kinaenda kufanyika na ndicho serikali inachofanya, sasa wewe Slaa unavyokuja kusema kwamba hoja za Rais Samia Suluhu ni za kipumbavu umekosea sana, ni dhahiri kwamba hujafuatilia nini kinaendelea umekurupuka.

#mamaanafanikisha uhuru wa maoni lakini sio kutoka hadharani kumtusi kiongozi wako wa nchi, Slaa kaa chini tafakari kabla ya kuzungumza mbele za watu. Unajidharirisha kila siku na ndio maana umevuliwa ubalozi sababu huna hadhi na hakuna balozi mwenye tabia kama zako.

udharirishaji ?
UDHALILISHAJI
 
Kwani hao waliyowachagua waliwauzia na hii nchi kuwa mali yao kwamba tusiongee lolote? Hawajachaguliwa ili kuishi kifahari tu bali kutumikia wananchi, kama kelele za waliyowachagua ni bure tu sasa watakuwa wanasikiliza kelele za nani?
Wewe hukuwachagua, uliwachagua Chadema, hii ni serikali imechaguliwa na wana CCM na wananchi wa kawaida waiokuwa na vyama. Wewe unataka umuwajibishe Mbowe sio serikali ya CCM. Toka lini chadema mmejivisha koti la kuwasemea watu? nani aliwachagua. Hii ni serikali ya chama cha CCM period, huwataki subiri chaguzi ushinde.
 
Dawa ya hii issue mbona ndogo tu, lete ile LIE DETECTOR wawekwe live kwenye TV viongozi hawa wanaojidai wanapigania Mali za watoto, sijui wajukuu sijui vitukuu ndio utaona watu watakavyoumbuka na hapa hata walioko serikalini. Ila mtu muongo mkubwa ukisikia tu tunapigania mali ya wananchi ujuwe muongo. Lete LIE DETECTOR kama aliyofanyiwa Ronaldo😛
 
Mama kazidisha kukaa kimya angekuwa marehemu huyu mzee asingethubutu kumwambia mpumbavu angemkata mapumbu yake.
Ubabe wake umempeleka wapi? Sasa hivi hata mjane wake anaona aibu kuitwa mke wa mwendazake, why? Alidhani duniani ubabe ni dili kumbe ushamba tuu.
 
Naandika Rashda binti Zunde✍️

Watanzania amkeni, Watanzania amkeni tupinge watu kama hawa wanaotusi viongozi wa nchi hadharani. Tuungane kukemea vitendo kama hivi huu ni udharirishaji wa Rais wetu, huwezi kutoka hadharani kusema "hoja za rais ni za kipumbavu".

Wote tunajua kwamba Rais Samia Suluhu ameweka wazi dhamira yake ya kuhakikisha kwamba katiba mpya inapatikana na tayari mchakato umeanza, hivi awamu gani iliwasikiliza chadema kama sio hii ya Mama Samia ?

Mchakato wa Katiba si wa siku moja, serikali imeshaanza mchakato, mmeshirikishwa, na sasa ni kutoa elimu kwa wananchi jambo ambalo serikali tayari ilishaweka wazi kwamba zaidi ya 50% ya Watanzania hawajui kuhusu katiba hivyo ni lazima wapatiwe elimu.

Lazima kila Mtanzania aelewe nini kinaenda kufanyika na ndicho serikali inachofanya, sasa wewe Slaa unavyokuja kusema kwamba hoja za Rais Samia Suluhu ni za kipumbavu umekosea sana, ni dhahiri kwamba hujafuatilia nini kinaendelea umekurupuka.

#mamaanafanikisha uhuru wa maoni lakini sio kutoka hadharani kumtusi kiongozi wako wa nchi, Slaa kaa chini tafakari kabla ya kuzungumza mbele za watu. Unajidharirisha kila siku na ndio maana umevuliwa ubalozi sababu huna hadhi na hakuna balozi mwenye tabia kama zako.

Vipi ikatokea hizo hoja zikawa ni za kipumbavu kweli?
Mimi nafikiri wakati mwingine tukubali tu kutukanwa kama tunazingua.
 
Ndio mfumo wa demokrasia hata kama wameshinda 51% ndio watatawala, sababu hata mitume hawakuungwa mkono na watu japo walikuwa wamekamilika. Mtume Mohammed alufukuzwa mji aliozaliwa na Yesu pamoja na yote wakamsulubu sembuse sisi? Majority rules, kukosoa sawa ila sio matusi.
Mkuu issue sio kuwachagua au kutowachagua, tunachagua kwa sababu hatuwezi wote kuwa viongozi ndio maana tunawachaguwa hao wachache na si kwa sababu waje kututawala bali kutuongoza watutumikie.

Sasa naona unaongea kama vile tumewamilikisha nchi kumbe wapo hapo kwa muda tu tunaweza kuwaondoa na kuingiza wengine na kama si kutumia nguvu ya dola utawala wa ccm tungekuwa tushausahau.
 
Wewe hukuwachagua, uliwachagua Chadema, hii ni serikali imechaguliwa na wana CCM na wananchi wa kawaida waiokuwa na vyama. Wewe unataka umuwajibishe Mbowe sio serikali ya CCM. Toka lini chadema mmejivisha koti la kuwasemea watu? nani aliwachagua. Hii ni serikali ya chama cha CCM period, huwataki subiri chaguzi ushinde.
Kwahiyo ni viongozi wa ccm au wananchi wote?
 
Upumbafu ni upumbafu Yu na hata yeye Slaa huwa anaupumbafu wake!! Mfano nkataba wa dw ni upumbafu Sasa tusemeje? Kama prof kabudi aliitwa pmbaf na mwendazake sahuyu kunaajabu gani?
 
Naandika Rashda binti Zunde[emoji3578]

Watanzania amkeni, Watanzania amkeni tupinge watu kama hawa wanaotusi viongozi wa nchi hadharani. Tuungane kukemea vitendo kama hivi huu ni udharirishaji wa Rais wetu, huwezi kutoka hadharani kusema "hoja za rais ni za kipumbavu".

Wote tunajua kwamba Rais Samia Suluhu ameweka wazi dhamira yake ya kuhakikisha kwamba katiba mpya inapatikana na tayari mchakato umeanza, hivi awamu gani iliwasikiliza chadema kama sio hii ya Mama Samia ?

Mchakato wa Katiba si wa siku moja, serikali imeshaanza mchakato, mmeshirikishwa, na sasa ni kutoa elimu kwa wananchi jambo ambalo serikali tayari ilishaweka wazi kwamba zaidi ya 50% ya Watanzania hawajui kuhusu katiba hivyo ni lazima wapatiwe elimu.

Lazima kila Mtanzania aelewe nini kinaenda kufanyika na ndicho serikali inachofanya, sasa wewe Slaa unavyokuja kusema kwamba hoja za Rais Samia Suluhu ni za kipumbavu umekosea sana, ni dhahiri kwamba hujafuatilia nini kinaendelea umekurupuka.

#mamaanafanikisha uhuru wa maoni lakini sio kutoka hadharani kumtusi kiongozi wako wa nchi, Slaa kaa chini tafakari kabla ya kuzungumza mbele za watu. Unajidharirisha kila siku na ndio maana umevuliwa ubalozi sababu huna hadhi na hakuna balozi mwenye tabia kama zako.

Kwa kweli hoja ya kusema eti Serikali itatoa elimu ya katiba kwa wananchi kwa miaka mitatu, ni hoja ya kipumbavu na upunguani mkubwa wa akili.

Wananchi walitoa maoni yao kuhusiana na katiba kwa kamati ya Warioba. Ni mtu gani aliwapa elimu wananchi hata wakatoa mapendekezo mengi muhimu kuhusiana na katiba?

Kwanza huko Serikalini ni nani mwenye akili kuwazidi wananchi? Wananchi wengi wenye akili na ujuzi mkubwa hawapo Serikalini.

Ukisikia kioja cha mjinga anataka kumpa elimu mwenye elimu, ndiyo hiki.
 
Naandika Rashda binti Zunde✍️

Watanzania amkeni, Watanzania amkeni tupinge watu kama hawa wanaotusi viongozi wa nchi hadharani. Tuungane kukemea vitendo kama hivi huu ni udharirishaji wa Rais wetu, huwezi kutoka hadharani kusema "hoja za rais ni za kipumbavu".

Wote tunajua kwamba Rais Samia Suluhu ameweka wazi dhamira yake ya kuhakikisha kwamba katiba mpya inapatikana na tayari mchakato umeanza, hivi awamu gani iliwasikiliza chadema kama sio hii ya Mama Samia ?

Mchakato wa Katiba si wa siku moja, serikali imeshaanza mchakato, mmeshirikishwa, na sasa ni kutoa elimu kwa wananchi jambo ambalo serikali tayari ilishaweka wazi kwamba zaidi ya 50% ya Watanzania hawajui kuhusu katiba hivyo ni lazima wapatiwe elimu.

Lazima kila Mtanzania aelewe nini kinaenda kufanyika na ndicho serikali inachofanya, sasa wewe Slaa unavyokuja kusema kwamba hoja za Rais Samia Suluhu ni za kipumbavu umekosea sana, ni dhahiri kwamba hujafuatilia nini kinaendelea umekurupuka.

#mamaanafanikisha uhuru wa maoni lakini sio kutoka hadharani kumtusi kiongozi wako wa nchi, Slaa kaa chini tafakari kabla ya kuzungumza mbele za watu. Unajidharirisha kila siku na ndio maana umevuliwa ubalozi sababu huna hadhi na hakuna balozi mwenye tabia kama zako.

Umetumwa? Utajuta na kazi hiyo uliyopewa
 
Mbona amesema hoja za kipumbavu ni za Ndumbaro? Siyo Samia aliyezitunga hizo hoja yeye amezibeba tu lakini aliyezitunga hizo hoja za kipumbavu ni Ndumbaro.
 
Naandika Rashda binti Zunde✍️

Watanzania amkeni, Watanzania amkeni tupinge watu kama hawa wanaotusi viongozi wa nchi hadharani. Tuungane kukemea vitendo kama hivi huu ni udharirishaji wa Rais wetu, huwezi kutoka hadharani kusema "hoja za rais ni za kipumbavu".

Wote tunajua kwamba Rais Samia Suluhu ameweka wazi dhamira yake ya kuhakikisha kwamba katiba mpya inapatikana na tayari mchakato umeanza, hivi awamu gani iliwasikiliza chadema kama sio hii ya Mama Samia ?

Mchakato wa Katiba si wa siku moja, serikali imeshaanza mchakato, mmeshirikishwa, na sasa ni kutoa elimu kwa wananchi jambo ambalo serikali tayari ilishaweka wazi kwamba zaidi ya 50% ya Watanzania hawajui kuhusu katiba hivyo ni lazima wapatiwe elimu.

Lazima kila Mtanzania aelewe nini kinaenda kufanyika na ndicho serikali inachofanya, sasa wewe Slaa unavyokuja kusema kwamba hoja za Rais Samia Suluhu ni za kipumbavu umekosea sana, ni dhahiri kwamba hujafuatilia nini kinaendelea umekurupuka.

#mamaanafanikisha uhuru wa maoni lakini sio kutoka hadharani kumtusi kiongozi wako wa nchi, Slaa kaa chini tafakari kabla ya kuzungumza mbele za watu. Unajidharirisha kila siku na ndio maana umevuliwa ubalozi sababu huna hadhi na hakuna balozi mwenye tabia kama zako.

Upumbavu ni tusi?

Kwa mujibu wa kamusi ya kiswahili, "upumbavu" ni tabia au sifa ya kitu au mtu..

Upumbavu ni ujinga uliozidi viwango vya ujinga wa kawaida..

Upumbavu ni "chronic ignorance". Ni ujinga ulio beyond repair..
 
Naandika Rashda binti Zunde✍️

Watanzania amkeni, Watanzania amkeni tupinge watu kama hawa wanaotusi viongozi wa nchi hadharani. Tuungane kukemea vitendo kama hivi huu ni udharirishaji wa Rais wetu, huwezi kutoka hadharani kusema "hoja za rais ni za kipumbavu".

Wote tunajua kwamba Rais Samia Suluhu ameweka wazi dhamira yake ya kuhakikisha kwamba katiba mpya inapatikana na tayari mchakato umeanza, hivi awamu gani iliwasikiliza chadema kama sio hii ya Mama Samia ?

Mchakato wa Katiba si wa siku moja, serikali imeshaanza mchakato, mmeshirikishwa, na sasa ni kutoa elimu kwa wananchi jambo ambalo serikali tayari ilishaweka wazi kwamba zaidi ya 50% ya Watanzania hawajui kuhusu katiba hivyo ni lazima wapatiwe elimu.

Lazima kila Mtanzania aelewe nini kinaenda kufanyika na ndicho serikali inachofanya, sasa wewe Slaa unavyokuja kusema kwamba hoja za Rais Samia Suluhu ni za kipumbavu umekosea sana, ni dhahiri kwamba hujafuatilia nini kinaendelea umekurupuka.

#mamaanafanikisha uhuru wa maoni lakini sio kutoka hadharani kumtusi kiongozi wako wa nchi, Slaa kaa chini tafakari kabla ya kuzungumza mbele za watu. Unajidharirisha kila siku na ndio maana umevuliwa ubalozi sababu huna hadhi na hakuna balozi mwenye tabia kama zako.

Hawa ndio wale walioko tayari kugawa kila rasilimali ya nchi kisa tu anapewa mwarabu...hopeless kbs na mashairi yako hayo
 
Back
Top Bottom