Dkt. Wilbroad Slaa atumia lugha kali dhidi ya Rais Samia

Naandika Rashda binti Zunde✍️

Watanzania amkeni, Watanzania amkeni tupinge watu kama hawa wanaotusi viongozi wa nchi hadharani. Tuungane kukemea vitendo kama hivi huu ni udharirishaji wa Rais wetu, huwezi kutoka hadharani kusema "hoja za rais ni za kipumbavu".

Wote tunajua kwamba Rais Samia Suluhu ameweka wazi dhamira yake ya kuhakikisha kwamba katiba mpya inapatikana na tayari mchakato umeanza, hivi awamu gani iliwasikiliza chadema kama sio hii ya Mama Samia ?

Mchakato wa Katiba si wa siku moja, serikali imeshaanza mchakato, mmeshirikishwa, na sasa ni kutoa elimu kwa wananchi jambo ambalo serikali tayari ilishaweka wazi kwamba zaidi ya 50% ya Watanzania hawajui kuhusu katiba hivyo ni lazima wapatiwe elimu.

Lazima kila Mtanzania aelewe nini kinaenda kufanyika na ndicho serikali inachofanya, sasa wewe Slaa unavyokuja kusema kwamba hoja za Rais Samia Suluhu ni za kipumbavu umekosea sana, ni dhahiri kwamba hujafuatilia nini kinaendelea umekurupuka.

#mamaanafanikisha uhuru wa maoni lakini sio kutoka hadharani kumtusi kiongozi wako wa nchi, Slaa kaa chini tafakari kabla ya kuzungumza mbele za watu. Unajidharirisha kila siku na ndio maana umevuliwa ubalozi sababu huna hadhi na hakuna balozi mwenye tabia kama zako.

Upumbavu ni upumbavu tu, hauna jina jingine
 
HUNA AKILI
Umejaa kwenye hoja ambayo nilitaka kuijenga,just imagine wewe ngumbaru huna lolote umeitwa mpumbavu umekasirika unadhani Samia kama binadamu tena mwenye mamlaka ataacha kukasirika?

Mpaka hapo tunakubalina kwamba matusi sio utamaduni wa kufisha hoja.
 
Naandika Rashda binti Zunde[emoji3578]

Narudia tena hoja za saa100 ni za kipumbavu
 
Wewe utakuwa mchochezi, umetuletea mashairi yako badala utuelezee huo Dr. Slaa alikuwa akiongea kuhusu nini. Pengine Slaa hajamtukana Rais, Ila kilichotukanwa ni kile kitu cha kipumbavu kilichofanyika. Wewe ullitaka asemeje? Wanzania wameamuka ni bahati mbaya tu wewe pekee ndio bado umelala hila ujielewi!!
 
Narudia tena hoja za saa100 ni za kipumbavu
Ndio maana nimesema Kwa hao Jamaa,binafsi kama ni Rais aisee utanikoma.

Samia hana Cha kupoteza tayari ni Rais hakuna cheo kingine hapa Duniani zaidi ya hicho Kwa hiyo kama anawachekea basi ni yeye ila Mimi siwezi kuwachekea kama tuu alivyosema Chalamila Jana.
 
#mamaanafanikisha uhuru wa maoni lakini sio kutoka hadharani kumtusi kiongozi wako wa nchi, Slaa kaa chini tafakari kabla ya kuzungumza mbele za watu. Unajidharirisha kila siku na ndio maana umevuliwa ubalozi sababu huna hadhi na hakuna balozi mwenye tabia kama zako.
Siungi mkono kutumika kwa lugha ya kudhalilisha kwa binaadm yeyote, achila mbali kiongozi wa nchi.
Ni hivyo hivyo, nisivyounga mkono kiongozi yeyote, au mtu yeyote anayefanya matendo ya kuudhi, watu na kuidhalilisha nchi kwa njia yoyote ile.

Baada ya kusema hayo, niseme kwamba wewe ni 'CHAWA' tu kama walivyo chawa wote wanaotegemea kula uchafu unaopatikana kwenye mwili wa mtu mnayemng'ang'ania.
Hamtumii akili zenu vizuri.
 
Umejaa kwenye hoja ambayo nilitaka kuijenga,just imagine wewe ngumbaru huna lolote umeitwa mpumbavu umekasirika unadhani Samia kama binadamu tena mwenye mamlaka ataacha kukasirika?

Mpaka hapo tunakubalina kwamba matusi sio utamaduni wa kufisha hoja.
Wewe ndo wa kunikasirisha?

WOTE MNAOSAPOTI MKATABA WA DP DUNIA HAMNA AKILI.!!
 
Ndio maana nimesema Kwa hao Jamaa,binafsi kama ni Rais aisee utanikoma.

Samia hana Cha kupoteza tayari ni Rais hakuna cheo kingine hapa Duniani zaidi ya hicho Kwa hiyo kama anawachekea basi ni yeye ila Mimi siwezi kuwachekea kama tuu alivyosema Chalamila Jana.
Huwa unapenda sana kujidhalilisha na kuonekana kama huna akili mara nyingi.
 
Naandika Rashda binti Zunde✍️

Watanzania amkeni, Watanzania amkeni tupinge watu kama hawa wanaotusi viongozi wa nchi hadharani. Tuungane kukemea vitendo kama hivi huu ni udharirishaji wa Rais wetu, huwezi kutoka hadharani kusema "hoja za rais ni za kipumbavu".

Wote tunajua kwamba Rais Samia Suluhu ameweka wazi dhamira yake ya kuhakikisha kwamba katiba mpya inapatikana na tayari mchakato umeanza, hivi awamu gani iliwasikiliza chadema kama sio hii ya Mama Samia ?

Mchakato wa Katiba si wa siku moja, serikali imeshaanza mchakato, mmeshirikishwa, na sasa ni kutoa elimu kwa wananchi jambo ambalo serikali tayari ilishaweka wazi kwamba zaidi ya 50% ya Watanzania hawajui kuhusu katiba hivyo ni lazima wapatiwe elimu.

Lazima kila Mtanzania aelewe nini kinaenda kufanyika na ndicho serikali inachofanya, sasa wewe Slaa unavyokuja kusema kwamba hoja za Rais Samia Suluhu ni za kipumbavu umekosea sana, ni dhahiri kwamba hujafuatilia nini kinaendelea umekurupuka.

#mamaanafanikisha uhuru wa maoni lakini sio kutoka hadharani kumtusi kiongozi wako wa nchi, Slaa kaa chini tafakari kabla ya kuzungumza mbele za watu. Unajidharirisha kila siku na ndio maana umevuliwa ubalozi sababu huna hadhi na hakuna balozi mwenye tabia kama zako.

Samahani ni

Samahani naomba kukuuliza, je una elimu gani ? Naona huna ufahamu wa lugha hata hii ya kwetu, neno mpumbavu siyo tusi bali ni sifa. Ama vipi pelekeni mahakamani mfanywe kama Mizengo panda alivyofanywa na Sugu. Ulizeni Pinda kuhusu maana ya neno " stupid"
 
Back
Top Bottom