Dkt. Wilbroad Slaa atumia lugha kali dhidi ya Rais Samia

Naandika Rashda binti Zunde✍️

Watanzania amkeni, Watanzania amkeni tupinge watu kama hawa wanaotusi viongozi wa nchi hadharani. Tuungane kukemea vitendo kama hivi huu ni udharirishaji wa Rais wetu, huwezi kutoka hadharani kusema "hoja za rais ni za kipumbavu".

Wote tunajua kwamba Rais Samia Suluhu ameweka wazi dhamira yake ya kuhakikisha kwamba katiba mpya inapatikana na tayari mchakato umeanza, hivi awamu gani iliwasikiliza chadema kama sio hii ya Mama Samia ?

Mchakato wa Katiba si wa siku moja, serikali imeshaanza mchakato, mmeshirikishwa, na sasa ni kutoa elimu kwa wananchi jambo ambalo serikali tayari ilishaweka wazi kwamba zaidi ya 50% ya Watanzania hawajui kuhusu katiba hivyo ni lazima wapatiwe elimu.

Lazima kila Mtanzania aelewe nini kinaenda kufanyika na ndicho serikali inachofanya, sasa wewe Slaa unavyokuja kusema kwamba hoja za Rais Samia Suluhu ni za kipumbavu umekosea sana, ni dhahiri kwamba hujafuatilia nini kinaendelea umekurupuka.

#mamaanafanikisha uhuru wa maoni lakini sio kutoka hadharani kumtusi kiongozi wako wa nchi, Slaa kaa chini tafakari kabla ya kuzungumza mbele za watu. Unajidharirisha kila siku na ndio maana umevuliwa ubalozi sababu huna hadhi na hakuna balozi mwenye tabia kama zako.

Hajamtukana Rais ametukana hoja Zake...Maana amesema hoja za Rais.....🤣🤣🤣🤣
 
Mbona doctor Slaa Yupo sahihi? Tatizo nyinyi wapumbavu wachache mnamjaza bichwa huyo bibi
 
Naandika Rashda binti Zunde✍️

Watanzania amkeni, Watanzania amkeni tupinge watu kama hawa wanaotusi viongozi wa nchi hadharani. Tuungane kukemea vitendo kama hivi huu ni udharirishaji wa Rais wetu, huwezi kutoka hadharani kusema "hoja za rais ni za kipumbavu".

Wote tunajua kwamba Rais Samia Suluhu ameweka wazi dhamira yake ya kuhakikisha kwamba katiba mpya inapatikana na tayari mchakato umeanza, hivi awamu gani iliwasikiliza chadema kama sio hii ya Mama Samia ?

Mchakato wa Katiba si wa siku moja, serikali imeshaanza mchakato, mmeshirikishwa, na sasa ni kutoa elimu kwa wananchi jambo ambalo serikali tayari ilishaweka wazi kwamba zaidi ya 50% ya Watanzania hawajui kuhusu katiba hivyo ni lazima wapatiwe elimu.

Lazima kila Mtanzania aelewe nini kinaenda kufanyika na ndicho serikali inachofanya, sasa wewe Slaa unavyokuja kusema kwamba hoja za Rais Samia Suluhu ni za kipumbavu umekosea sana, ni dhahiri kwamba hujafuatilia nini kinaendelea umekurupuka.

#mamaanafanikisha uhuru wa maoni lakini sio kutoka hadharani kumtusi kiongozi wako wa nchi, Slaa kaa chini tafakari kabla ya kuzungumza mbele za watu. Unajidharirisha kila siku na ndio maana umevuliwa ubalozi sababu huna hadhi na hakuna balozi mwenye tabia kama zako.

Mzee yupo sawa , shida uchawa, hivi ukimuona mzee uyu anapigania nchi yake jua kwanza hana la kupoteza ,pumbavuu
 
Mkuu, unaweza kumwambia baba yako mdogo, shangazi, au mama mkubwa. aache upumbavu, hata kama katereza mahara fulani?
Na katika maisha yako ulishawahi kufanya hivyo?
Mimi nilishawahi kumwambia baba yangu kuwa Apache mambo ya kipumbavu,na kweli yalikuwa yakipumbavu,hadi Leo hii huwa ananishukuru kwa niliyomfanyia
 
Kwa warahisisha mambo, hapo ni kufungua kesi ya uhaini.
Unamfungulia kesi ya uhaini mtu anayekukosoa kwa manenò SAHIHI yanayokustahili kisha unamfunga maisha.
Halafu wahaini wa kweli wanakuja kukutoa kiukweli na kukunyang'anya mali zako na za wanafamilia, wanakufunga jela kama sio kukuua kabisa na huyo uliyeona anastahili kwenda jela kwa kukukosoa anaachiwa kutoka jela huku akiwa na title ya shujaa wa wananchi.
Ndipo unajidhibitishia kuwa sio tu ulikuwa unatoa kauli za kipumbavu bali ulikuwa unafanya na upumbavu kabisa.
 
Huyu mzee sasa anaenda mbali Sana

Kweli hoja za rais ni za kipumbavu? Duh

Amekosea sana
Mama kazidisha kukaa kimya angekuwa marehemu huyu mzee asingethubutu kumwambia mpumbavu angemkata mapumbu yake.
 
Naandika Rashda binti Zunde[emoji3578]

Watanzania amkeni, Watanzania amkeni tupinge watu kama hawa wanaotusi viongozi wa nchi hadharani. Tuungane kukemea vitendo kama hivi huu ni udharirishaji wa Rais wetu, huwezi kutoka hadharani kusema "hoja za rais ni za kipumbavu".

Wote tunajua kwamba Rais Samia Suluhu ameweka wazi dhamira yake ya kuhakikisha kwamba katiba mpya inapatikana na tayari mchakato umeanza, hivi awamu gani iliwasikiliza chadema kama sio hii ya Mama Samia ?

Mchakato wa Katiba si wa siku moja, serikali imeshaanza mchakato, mmeshirikishwa, na sasa ni kutoa elimu kwa wananchi jambo ambalo serikali tayari ilishaweka wazi kwamba zaidi ya 50% ya Watanzania hawajui kuhusu katiba hivyo ni lazima wapatiwe elimu.

Lazima kila Mtanzania aelewe nini kinaenda kufanyika na ndicho serikali inachofanya, sasa wewe Slaa unavyokuja kusema kwamba hoja za Rais Samia Suluhu ni za kipumbavu umekosea sana, ni dhahiri kwamba hujafuatilia nini kinaendelea umekurupuka.

#mamaanafanikisha uhuru wa maoni lakini sio kutoka hadharani kumtusi kiongozi wako wa nchi, Slaa kaa chini tafakari kabla ya kuzungumza mbele za watu. Unajidharirisha kila siku na ndio maana umevuliwa ubalozi sababu huna hadhi na hakuna balozi mwenye tabia kama zako.

Hizi piki piki zimenunuliwa kwa pesa ya chama au ya nchi?
Screenshot_20230722-183440~2.jpg
 
dah, Padre,Dr.Wilbrod Peter Slaa hapo umevuka mipaka na unachodai sasa sio katiba ni fujo. Kwa dhihaka izo unapoteza ladha na maana ya maridhiano kuelekea kupata document ya pamoja yaani katiba.

Sasa Padre, wewe unamuita tena kwa dharau Raisi Samia, una muita samia halafu eti anakuja na mawazo ya kipumbavu?

Vipi kiongozi mwingine nae akaja kukuita wewe mpumbavu na mwingine akakuita jina lingine lolote lisilo la kiisaarabu tutaleta umoja au fujo?

Reconciliation, Resilience, Reforms & Rebuilding​

Naandika Rashda binti Zunde✍️

Watanzania amkeni, Watanzania amkeni tupinge watu kama hawa wanaotusi viongozi wa nchi hadharani. Tuungane kukemea vitendo kama hivi huu ni udharirishaji wa Rais wetu, huwezi kutoka hadharani kusema "hoja za rais ni za kipumbavu".

Wote tunajua kwamba Rais Samia Suluhu ameweka wazi dhamira yake ya kuhakikisha kwamba katiba mpya inapatikana na tayari mchakato umeanza, hivi awamu gani iliwasikiliza chadema kama sio hii ya Mama Samia ?

Mchakato wa Katiba si wa siku moja, serikali imeshaanza mchakato, mmeshirikishwa, na sasa ni kutoa elimu kwa wananchi jambo ambalo serikali tayari ilishaweka wazi kwamba zaidi ya 50% ya Watanzania hawajui kuhusu katiba hivyo ni lazima wapatiwe elimu.

Lazima kila Mtanzania aelewe nini kinaenda kufanyika na ndicho serikali inachofanya, sasa wewe Slaa unavyokuja kusema kwamba hoja za Rais Samia Suluhu ni za kipumbavu umekosea sana, ni dhahiri kwamba hujafuatilia nini kinaendelea umekurupuka.

#mamaanafanikisha uhuru wa maoni lakini sio kutoka hadharani kumtusi kiongozi wako wa nchi, Slaa kaa chini tafakari kabla ya kuzungumza mbele za watu. Unajidharirisha kila siku na ndio maana umevuliwa ubalozi sababu huna hadhi na hakuna balozi mwenye tabia kama zako.

Mjomba wako ndiye sliyekuambia 50% hatujui katiba ila wewe na shangazi yako mnaijua kwahiyo mnataka mtuweke darasani tujifunze! Tatizo lenu mnadhani sisi wote ni panyarodi ila nyie tu ndio mliokwenda shule! Pumbavu.
 
Mimi nilishawahi kumwambia baba yangu kuwa Apache mambo ya kipumbavu,na kweli yalikuwa yakipumbavu,hadi Leo hii huwa ananishukuru kwa niliyomfanyia
Ndivyo alivyokulea..sasa angefanyaje mkuu..!!
 
Freedom of speech and expression ni haki yake "Dokta Cassava".

Ni dharau kubwa kutuambia sisi Wananchi tujifunze Katiba ya 77 kwa muda wa miaka mitatu
 
Naandika Rashda binti Zunde✍️

Watanzania amkeni, Watanzania amkeni tupinge watu kama hawa wanaotusi viongozi wa nchi hadharani. Tuungane kukemea vitendo kama hivi huu ni udharirishaji wa Rais wetu, huwezi kutoka hadharani kusema "hoja za rais ni za kipumbavu".

Wote tunajua kwamba Rais Samia Suluhu ameweka wazi dhamira yake ya kuhakikisha kwamba katiba mpya inapatikana na tayari mchakato umeanza, hivi awamu gani iliwasikiliza chadema kama sio hii ya Mama Samia ?

Mchakato wa Katiba si wa siku moja, serikali imeshaanza mchakato, mmeshirikishwa, na sasa ni kutoa elimu kwa wananchi jambo ambalo serikali tayari ilishaweka wazi kwamba zaidi ya 50% ya Watanzania hawajui kuhusu katiba hivyo ni lazima wapatiwe elimu.

Lazima kila Mtanzania aelewe nini kinaenda kufanyika na ndicho serikali inachofanya, sasa wewe Slaa unavyokuja kusema kwamba hoja za Rais Samia Suluhu ni za kipumbavu umekosea sana, ni dhahiri kwamba hujafuatilia nini kinaendelea umekurupuka.

#mamaanafanikisha uhuru wa maoni lakini sio kutoka hadharani kumtusi kiongozi wako wa nchi, Slaa kaa chini tafakari kabla ya kuzungumza mbele za watu. Unajidharirisha kila siku na ndio maana umevuliwa ubalozi sababu huna hadhi na hakuna balozi mwenye tabia kama zako.

Angalau hajasema Rais ni mpumbavu
 
Back
Top Bottom