Dkt. Wilbroad Slaa atumia lugha kali dhidi ya Rais Samia

Naandika Rashda binti Zunde✍️

Watanzania amkeni, Watanzania amkeni tupinge watu kama hawa wanaotusi viongozi wa nchi hadharani. Tuungane kukemea vitendo kama hivi huu ni udharirishaji wa Rais wetu, huwezi kutoka hadharani kusema "hoja za rais ni za kipumbavu".

Wote tunajua kwamba Rais Samia Suluhu ameweka wazi dhamira yake ya kuhakikisha kwamba katiba mpya inapatikana na tayari mchakato umeanza, hivi awamu gani iliwasikiliza chadema kama sio hii ya Mama Samia ?

Mchakato wa Katiba si wa siku moja, serikali imeshaanza mchakato, mmeshirikishwa, na sasa ni kutoa elimu kwa wananchi jambo ambalo serikali tayari ilishaweka wazi kwamba zaidi ya 50% ya Watanzania hawajui kuhusu katiba hivyo ni lazima wapatiwe elimu.

Lazima kila Mtanzania aelewe nini kinaenda kufanyika na ndicho serikali inachofanya, sasa wewe Slaa unavyokuja kusema kwamba hoja za Rais Samia Suluhu ni za kipumbavu umekosea sana, ni dhahiri kwamba hujafuatilia nini kinaendelea umekurupuka.

#mamaanafanikisha uhuru wa maoni lakini sio kutoka hadharani kumtusi kiongozi wako wa nchi, Slaa kaa chini tafakari kabla ya kuzungumza mbele za watu. Unajidharirisha kila siku na ndio maana umevuliwa ubalozi sababu huna hadhi na hakuna balozi mwenye tabia kama zako.

Viongozi wanaoingia madarakani kwa chaguzi za kishenzi ni zaidi ya matusi kwa watanzania. Unataka heshima kwa viongozi wanaoingia madarakani kwa njia zisizo za heshima! Toka lini serikali ikitaka kupitisha jambo isubiri hadi ulewa wananchi uvuke 50%+. Huo utapeli wa nia ya rais mkawaambie wenye uelewa mdogo. Na wapinzani watakuwa wajinga sana iwapo wataamini hiyo porojo iitwayo nia ya rais.
 
Alieitwa mpumbavu nani hapo?
Babaako mzazi akiondoka kwenda kazini akisahau kuacha hela ya vitafunwa na ukashinda bila ya kunywa chai...
Unaweza kulalamika ukisema..."baba nae aache upumbavu"?
 
Duh kumbe hadi JF upo huwa naona comments zako kule Twitter nabaki nashangaa!

JF sio Twitter huku kuna Kuna great thinkers , so kuwa Makini .
.. najua hivi Post/thread huwa mnapewa notes mje kuandika ..,..
 
Mbona hamchukulii hatua? Endeleeni kuwachekea na kulalamika mitandaoni.

Mwendazake alisema Katiba haipo kwenye ilani nyie mkaileta Sasa ndio mfuate utaratibu wake.

Ukilikoroga lazima ulinywe.
Kinachotokea Gabon na Ivory Coast kilisababishwa na washauri wabovu kama wewe. Katiba mpya imeliliwa kwa miaka lakini Kwa kuwa iliyopocinawanufaisha CCM kubaki madarakani, basi hawasikii la mtu, mwisho uvumilivu upotee tzingie kwenye balaa.
 
Naandika Rashda binti Zunde✍️

Watanzania amkeni, Watanzania amkeni tupinge watu kama hawa wanaotusi viongozi wa nchi hadharani. Tuungane kukemea vitendo kama hivi huu ni udharirishaji wa Rais wetu, huwezi kutoka hadharani kusema "hoja za rais ni za kipumbavu".

Wote tunajua kwamba Rais Samia Suluhu ameweka wazi dhamira yake ya kuhakikisha kwamba katiba mpya inapatikana na tayari mchakato umeanza, hivi awamu gani iliwasikiliza chadema kama sio hii ya Mama Samia ?

Mchakato wa Katiba si wa siku moja, serikali imeshaanza mchakato, mmeshirikishwa, na sasa ni kutoa elimu kwa wananchi jambo ambalo serikali tayari ilishaweka wazi kwamba zaidi ya 50% ya Watanzania hawajui kuhusu katiba hivyo ni lazima wapatiwe elimu.

Lazima kila Mtanzania aelewe nini kinaenda kufanyika na ndicho serikali inachofanya, sasa wewe Slaa unavyokuja kusema kwamba hoja za Rais Samia Suluhu ni za kipumbavu umekosea sana, ni dhahiri kwamba hujafuatilia nini kinaendelea umekurupuka.

#mamaanafanikisha uhuru wa maoni lakini sio kutoka hadharani kumtusi kiongozi wako wa nchi, Slaa kaa chini tafakari kabla ya kuzungumza mbele za watu. Unajidharirisha kila siku na ndio maana umevuliwa ubalozi sababu huna hadhi na hakuna balozi mwenye tabia kama zako.

Hoja za kipumbavu ni hoja za kipumbavu na ni hizo alizokuja nazo Ndumbaro Ndumba
 
Babaako mzazi akiondoka kwenda kazini akisahau kuacha hela ya vitafunwa na ukashinda bila ya kunywa chai...
Unaweza kulalamika ukisema..."baba nae aache upumbavu"?
Na ndiyo maana baba anaweza kushtakiwa kwa kushimdwa kutimiza wajibu wake! Ukumbuka baba kuacha hela ya chakula au baba kumpa mwanawe chakula sio hisani ila ni wajibu.
 
Mbona hamchukulii hatua? Endeleeni kuwachekea na kulalamika mitandaoni.

Mwendazake alisema Katiba haipo kwenye ilani nyie mkaileta Sasa ndio mfuate utaratibu wake.

Ukilikoroga lazima ulinyweR

Nnachokiona hapa ni sikio la kufa halisikii dawa.
Mwenyewe Raisi alishasema mtu aliye mzidi umri hatamchukulia hatia ninyi viherehere kinawawasha Nini?
 
Naandika Rashda binti Zunde✍️

Watanzania amkeni, Watanzania amkeni tupinge watu kama hawa wanaotusi viongozi wa nchi hadharani. Tuungane kukemea vitendo kama hivi huu ni udharirishaji wa Rais wetu, huwezi kutoka hadharani kusema "hoja za rais ni za kipumbavu".

Wote tunajua kwamba Rais Samia Suluhu ameweka wazi dhamira yake ya kuhakikisha kwamba katiba mpya inapatikana na tayari mchakato umeanza, hivi awamu gani iliwasikiliza chadema kama sio hii ya Mama Samia ?

Mchakato wa Katiba si wa siku moja, serikali imeshaanza mchakato, mmeshirikishwa, na sasa ni kutoa elimu kwa wananchi jambo ambalo serikali tayari ilishaweka wazi kwamba zaidi ya 50% ya Watanzania hawajui kuhusu katiba hivyo ni lazima wapatiwe elimu.

Lazima kila Mtanzania aelewe nini kinaenda kufanyika na ndicho serikali inachofanya, sasa wewe Slaa unavyokuja kusema kwamba hoja za Rais Samia Suluhu ni za kipumbavu umekosea sana, ni dhahiri kwamba hujafuatilia nini kinaendelea umekurupuka.

#mamaanafanikisha uhuru wa maoni lakini sio kutoka hadharani kumtusi kiongozi wako wa nchi, Slaa kaa chini tafakari kabla ya kuzungumza mbele za watu. Unajidharirisha kila siku na ndio maana umevuliwa ubalozi sababu huna hadhi na hakuna balozi mwenye tabia kama zako.

mtoto wa kiume unajiita rashida siraji, unalaana wewe
 
Na ndiyo maana baba anaweza kushtakiwa kwa kushimdwa kutimiza wajibu wake! Ukumbuka baba kuacha hela ya chakula au baba kumpa mwanawe chakula sio hisani ila ni wajibu.
Wewe umewahi kufanya hivyo?
 
Naandika Rashda binti Zunde✍️

Watanzania amkeni, Watanzania amkeni tupinge watu kama hawa wanaotusi viongozi wa nchi hadharani. Tuungane kukemea vitendo kama hivi huu ni udharirishaji wa Rais wetu, huwezi kutoka hadharani kusema "hoja za rais ni za kipumbavu".

Wote tunajua kwamba Rais Samia Suluhu ameweka wazi dhamira yake ya kuhakikisha kwamba katiba mpya inapatikana na tayari mchakato umeanza, hivi awamu gani iliwasikiliza chadema kama sio hii ya Mama Samia ?

Mchakato wa Katiba si wa siku moja, serikali imeshaanza mchakato, mmeshirikishwa, na sasa ni kutoa elimu kwa wananchi jambo ambalo serikali tayari ilishaweka wazi kwamba zaidi ya 50% ya Watanzania hawajui kuhusu katiba hivyo ni lazima wapatiwe elimu.

Lazima kila Mtanzania aelewe nini kinaenda kufanyika na ndicho serikali inachofanya, sasa wewe Slaa unavyokuja kusema kwamba hoja za Rais Samia Suluhu ni za kipumbavu umekosea sana, ni dhahiri kwamba hujafuatilia nini kinaendelea umekurupuka.

#mamaanafanikisha uhuru wa maoni lakini sio kutoka hadharani kumtusi kiongozi wako wa nchi, Slaa kaa chini tafakari kabla ya kuzungumza mbele za watu. Unajidharirisha kila siku na ndio maana umevuliwa ubalozi sababu huna hadhi na hakuna balozi mwenye tabia kama zako.

Huyu mzee sasa anaenda mbali Sana

Kweli hoja za rais ni za kipumbavu? Duh

Amekosea sana
 
Hajamtukana Rais ametukana hoja Zake...Maana amesema hoja za Rais.....🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom