Athari ni kubwa sana. Uchumi wa nchi utadorora sana. Tujitafakari juu ya kukwezwa kuwa nchi ya uchumi wa kati. Huenda tukashushwa kurudi kwenye nchi maskini duniani. Yaliyotokea Zimbabwe sasa yananukia Tanzania.
wewe unayesema safi sana,kuna nini unachotumia au kukimiliki kutoka ulaya?
unafurahia ujinga,tanzania haiwezi kuathirika kwa lolote..sisi washirika wetu wanatoka bara Asia zaidi..
Ninyi ndio mnakiangamiza chama bila kujijua. Mnang'ang'ania vitu ambavyo havipo badala ya kujenga vyama vyenu. Ikifika uchaguzi, mnakuwa hamjajipanga. Mkishindwa mnadai mmeibiwa kura. Wajinga kabisa ninyi!JIWE ANAIANGAMIZA MAMA TANZANIA.
USHAMBA TU