Dkt. Slaa: Bunge la Ulaya limetuhukumu Tanzania bila kusikilizwa (2019 Video)

Haya
Umesahau official response ya kabudi mara baada ya azimio la bunge la ulaya, we have been granted right to be heard but we never know how to use it
Ndio maana walihoji matumizi ya euro 27m for Corona prohibition punde baada ya kuzipokea tukaitangazia dunia kwamba the country has Corona free
Muwakilishi wetu kidiplomasia alizungumza kwa niaba yetu ndio tumeshasikilizwa ivo
 
Kenge mweusi wewe si mnasema nchi yenu tajiri pumbaffu wewe
sibishani na watu wenye mtitio wa ubongo mimi, "si mnasema nchi yenu ni tajiri"
wewe ni msomali au msudani, unahitaji ukombozi mkubwa sana wa kifikra broo

Kuwa mzalendo kwa nchi yako
 
sibishani na watu wenye mtitio wa ubongo mimi, "si mnasema nchi yenu ni tajiri"
wewe ni msomali au msudani, unahitaji ukombozi mkubwa sana wa kifikra broo

Kuwa mzalendo kwa nchi yako
Aliyekwambia mimi mtanzania nani ngedere nyie wabongo
 
Habari za asubuhi wakuu,

Nimemsikia Dkt. Slaa akieleza kwa uchungu kuwa Bunge la Ulaya limeiadhibu Tanzania kwa kosa la kuminya Demokrasia.

Na nchi zote za Umoja wa Ulaya hazitafanya biashara na Tanzania kwa kosa hilo, lakini jambo hilo limefanyika huku Bunge hilo likivunja Demokrasia kwa kutokuipa Tanzania nafasi ya kujieleza katika Bunge hilo kama Demokrasia inavyotaka.


Wataalamu wa mambo ya kisiasa na uchumi watueleze, nini athari ya maamuzi haya kwa Tanzania?
Padri mzinzi huyu
 
Kammwagie mama yako kwanza uone raha yake
Itoshe tu kukamwambia nchi iko uchuki wa kati, daraja la busisi linaelekea kukamilika sijajua nchi yako huko kuko vipi mpaka umeona uanze kuisemea nchi yetu Tanzania, nchi yetu wenyewe tunaijua wenyewe na tunaipenda wenyewe
 
Lisu mbona hakusikilizwa?? Acha mkomege.mnadhani mko juu ya sheria tena si hayo tu viongozi mpigwe pin hasa hkn kutoka humu.
 
Back
Top Bottom