Dkt. Slaa: Bunge la Ulaya limetuhukumu Tanzania bila kusikilizwa (2019 Video)

wewe unayesema safi sana,kuna nini unachotumia au kukimiliki kutoka ulaya?
unafurahia ujinga,tanzania haiwezi kuathirika kwa lolote..sisi washirika wetu wanatoka bara Asia zaidi..
Washirika gani wakati watalii wengi ni kutoka Ulaya, misaada mingi pia ni kutoka Ulaya. Asia wenyewe wanakimbilia kufanya biashara na Ulaya
 
Kumwabud mtu mweup mapak lin uoga wako.umasikin wako maswal ya kuogop mbwa hao ni dhambi maaan hata mung anasem nikosa kumwabud binadam
 
Habari za asubuhi wakuu,

Nimemsikia Dr. Slaa akieleza kwa uchungu kuwa bunge la ulaya limeiadhibu Tanzania kwa kosa la kuminya democrasia.

Na nchi zote za Umoja wa Ulaya hazitafanya biashara na Tanzania kwa kosa hilo, Lakini jambo hilo limefanyika huku Bunge hilo likivunja demokirasia kwa kutokuipa Tanzania nafasi ya kujieleza katika Bunge hilo kama demokrasia inavyotaka.

Wataalamu wa mambo ya kisiasa na uchumi watueleze, nini athari ya maamuzi haya kwa Tanzania?

Mitano tena
 
Si tunaweza kufanya biashara na nchi za Asia na China?? Au nako pia haitowezekana??

Naomba kuuliza, kwani so far tunapeleka bidhaa gani huko Ulaya???
Wachina unaowafikiria kuwa unaweza kufanya nao biashara, waliwekewa mbinyo kidogo tu na Marekani kwenye biashara, ukuaji wao uludondoka ghafla mpaka 2%, na hautegemewi kupanda tena kwa kipindi kisichopungua miaka 10.

Ukiwejewa vikwazo na hayo mataifa makubwa, kila mmoja anaogopa kuwa karibu nawe. Unakuwa haramu, na haramu haiguswi.
 
Hasira zao zinawapelekea kuzira kama demu siyo?

Kwamba wanazuia watalii kuja na kutofanya biashara kuja kwetu, Kwani Dunia ina nchi ngapi na ulaya ina nchi ngapi?

Raisi wa ulaya na spika wao ni washamba Sana aisee!!

Hiyo ni adhabu Sawa na mke azire kumpikia Mume na badala yake mume awe anajipikia Wakati naye ni mtaalamu wa kupika
Tutajipikia
Paul Silly at his best!
 
Habari za asubuhi wakuu,

Nimemsikia Dr. Slaa akieleza kwa uchungu kuwa bunge la ulaya limeiadhibu Tanzania kwa kosa la kuminya democrasia.

Na nchi zote za Umoja wa Ulaya hazitafanya biashara na Tanzania kwa kosa hilo, Lakini jambo hilo limefanyika huku Bunge hilo likivunja demokirasia kwa kutokuipa Tanzania nafasi ya kujieleza katika Bunge hilo kama demokrasia inavyotaka.

Wataalamu wa mambo ya kisiasa na uchumi watueleze, nini athari ya maamuzi haya kwa Tanzania?

Si Tanzania ni nchi tajiri wanataka msaada kutoka Ulaya wa nini?
 
Habari za asubuhi wakuu,

Nimemsikia Dr. Slaa akieleza kwa uchungu kuwa bunge la ulaya limeiadhibu Tanzania kwa kosa la kuminya democrasia.

Na nchi zote za Umoja wa Ulaya hazitafanya biashara na Tanzania kwa kosa hilo, Lakini jambo hilo limefanyika huku Bunge hilo likivunja demokirasia kwa kutokuipa Tanzania nafasi ya kujieleza katika Bunge hilo kama demokrasia inavyotaka.

Wataalamu wa mambo ya kisiasa na uchumi watueleze, nini athari ya maamuzi haya kwa Tanzania?

Huyu atafutwa ubalozi kwa kwenda kinyume na bosi wake
 
Back
Top Bottom