Iwensanto
JF-Expert Member
- Mar 7, 2019
- 1,174
- 1,092
Habari za asubuhi wakuu,
Nimemsikia Dkt. Slaa akieleza kwa uchungu kuwa Bunge la Ulaya limeiadhibu Tanzania kwa kosa la kuminya Demokrasia.
Na nchi zote za Umoja wa Ulaya hazitafanya biashara na Tanzania kwa kosa hilo, lakini jambo hilo limefanyika huku Bunge hilo likivunja Demokrasia kwa kutokuipa Tanzania nafasi ya kujieleza katika Bunge hilo kama Demokrasia inavyotaka.
Wataalamu wa mambo ya kisiasa na uchumi watueleze, nini athari ya maamuzi haya kwa Tanzania?