Billal Saadat
Senior Member
- Nov 30, 2022
- 169
- 356
Mbowe na Dkt Slaa wakikuhaidi njia inaelekea kulia lower your expectations na ukate kushoto. Wengi waliwahi kuwaamini kuwa wanaweza kuleta miujiza kwenye nchi yetu na tulishuhudia ni unafiki na usaliti wa hali ya juu.
Walisimama Mwembeyanga na list of shame mwaka 2007 wale waliowaita mafisadi kwa miaka 8 wakawapa nafasi ya kugombea Urais. Mbowe akaapiza over his dead body hawezi kumkataa yule waliyemuita fisadi kwa sababu ya Dkt. Slaa amemgomea (๐ฃ๐ข๐ฎ๐ฅ๐ข๐ณ๐ ๐ค๐ฐ๐๐ง๐ข๐ง๐ข? ๐๐ฅ๐ข๐ฉ๐จ๐ค๐๐ ๐ฉ๐๐ฌ๐)
Unajiuliza kwa haraka Mbowe na Dkt. Slaa walikaa lini kuondoa tofauti zao ni Dkt. Slaa aliyemuita Mbowe ni Gaidi, Ni Dkt Slaa alikiri mbele ya hadhara Chadema kuna vikundi vya utekaji na ana uhakika kuwa kuna uwezekano aliyemshambulia Lissu kwa Risasi ni Chadema. (๐ฌ๐๐๐๐๐ฎ ๐ง๐ข ๐ณ๐ข๐ฅ๐๐ณ๐ข๐ฅ๐ ๐๐ค๐ญ. ๐๐ฅ๐๐ ๐๐ฆ๐๐ฅ๐๐ญ๐ ๐ฉ๐๐ฌ๐ ๐ง๐ ๐ฆ๐๐ฌ๐ก๐๐ซ๐ญ๐ข ๐ง๐๐๐ฎ๐ฎ)
Tujiulize vile vikundi vya utekaji alivyovieleza Dkt. Slaa nani ameviondoa? Kwenye siasa hakuna adui wa kudumu ila wanasiasa ni wanadamu sababu Dkt Slaa anafanya mazungumzo na Mbowe kipindi ambacho Lissu hayupo? Huu ni mpasuko mkubwa.
Mbowe haioni sign ya chama kukataliwa na wananchi Temeke wamekataa kulishwa uongo mchana wa wazi anapokwenda kumpokea Dkt. Slaa ni kujichimbia kaburi la siasa zao ni rahisi kwa Wananchi kumsamehe mpinzani aliyekwenda chama tawala na ngumu sana kwa Wananchi kumpokea mpinzani aliyetoka chama tawala kurudi upinzani. (๐๐๐ฌ๐๐ฅ๐ข๐ญ๐ข ๐ก๐๐ฐ๐๐ฉ๐๐ง๐๐ฐ๐ข ๐๐๐ข๐ฆ๐)
Rekodi zipo wazi kabisa, Wananchi wa Tanzania wanampenda shetani wanayemjua kuliko malaika wasiyemuona. kuanguka kisiasa kwa wapinzani waliokwenda chama tawala na kurudi chama pinzani ni kikubwa kuliko mpinzani aliyekwenda chama tawala.
Ni kambi mbili sasa ndani ya CHADEMA imani ya Lissu na Imani ya Mwenyekiti Mbowe, Jahazi limechanika tanga na bahari imechafuka. Naibu Katibu Mkuu Zanzibar akiongea ni vipande vipande.
๐๐ข๐ฆ๐๐ค๐๐ ๐ฉ๐๐ฅ๐...!!!