Ndiyo MalipoDuniani hapaaa!!!!!!!!!!!!!!!!
Wanjiru haepuki lawama, yeye alipomgundua kabla ya kuandikia gazeti lake alitakiwa awe karibu na Dr. Shika ajue nini kinamsibu, je kinastahiri kuwa habari au anatatizo lakuweza kumfikisha kwenye msaada, siyo kila ukionacho ni habari.Wanjiru sio The Daily News lakini.
Yesu Awaita Waliolemewa Na MizigoMathayo 11:28
Sasa Alkasusu ndo nani? Nadhani wenye magazeti wangekuwa wanatuhabarisha mambo ya maendeleo zaidi ( Kilimo, ufugaji etc) ili siku moja tujikwamue kutoka kwenye umasikini. Wapite kwenye mashamba ya wakulima wazuri walionyesha mafanikio wapige picha mazao tuzione kwenye magazeti. Wapige picha Machine za kichina za kutengeneza vitu mbalimbali na bei zabidha hizo ili watu wawe na hamu ya kuifikia Tanzania ya Viwanda. Huku kwingine tutachelewa kujua wenzetu wanafanyaje maendeleo.Media za TZ zimepotez dira, tena zote siku hizi huwezi kutofautisha magazeti makini na yale ya Udaku, yawe ya serikali na hata ya binafsi.
Gazeti la habari leo jana liliandika kuhusu alkasusu front page kana kwamba mambo ya msingi ya kuripoti yameisha nchi hii. None sense!!