Dkt. Shika sasa ana maisha magumu, hana pa kuishi

Auze figo atoke hana cha kupoteza.

Na yule kijana wake bishoo anaishi uswizi? Yani anashindwa kubeba boksi na kumtumia dingi yake 700-1000 swiss franc kwa mwezi?
 
Wanjiru sio The Daily News lakini.
Wanjiru haepuki lawama, yeye alipomgundua kabla ya kuandikia gazeti lake alitakiwa awe karibu na Dr. Shika ajue nini kinamsibu, je kinastahiri kuwa habari au anatatizo lakuweza kumfikisha kwenye msaada, siyo kila ukionacho ni habari.
 
Mzee anahitaji msaada.ukimwangalia kwa makini kavimba miguu na mashavu pia.Mpatieni hata ajira ajikwamue ki uchumi
 
  • Thanks
Reactions: T11
Msomeni mtu mnaitwa John Nash, mtamwelewa Dr. Shika vizuri. Toka day one habari zake zinaanza wote wenye kujisumbua kidogo kufikiri waliyajua haya. Mwonekano wake tu unaongea yote. Sema tu ulimbukeni na uzwazwa wa waTz wengi ikawa story.
 
  • Thanks
Reactions: T11
Media za TZ zimepotez dira, tena zote siku hizi huwezi kutofautisha magazeti makini na yale ya Udaku, yawe ya serikali na hata ya binafsi.
Gazeti la habari leo jana liliandika kuhusu alkasusu front page kana kwamba mambo ya msingi ya kuripoti yameisha nchi hii. None sense!!
 
Media za TZ zimepotez dira, tena zote siku hizi huwezi kutofautisha magazeti makini na yale ya Udaku, yawe ya serikali na hata ya binafsi.
Gazeti la habari leo jana liliandika kuhusu alkasusu front page kana kwamba mambo ya msingi ya kuripoti yameisha nchi hii. None sense!!
Sasa Alkasusu ndo nani? Nadhani wenye magazeti wangekuwa wanatuhabarisha mambo ya maendeleo zaidi ( Kilimo, ufugaji etc) ili siku moja tujikwamue kutoka kwenye umasikini. Wapite kwenye mashamba ya wakulima wazuri walionyesha mafanikio wapige picha mazao tuzione kwenye magazeti. Wapige picha Machine za kichina za kutengeneza vitu mbalimbali na bei zabidha hizo ili watu wawe na hamu ya kuifikia Tanzania ya Viwanda. Huku kwingine tutachelewa kujua wenzetu wanafanyaje maendeleo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom