Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 5,379
- 15,893
Mwelekeo mpya bila mabadiliko ya kimfumo itakuwa Bure!Waanze na kukusanywa maoni Kama za tume Kwa wananchi.✓Asema mageuzi ndani ya Jeshi la Polisi yataongeza ufanisi kwa wananchi.
✓IGP Wambura aahidi kuendelea kusimamia nidhamu na uwajibikaji.
✓Wananchi watakiwa kushirikiana na vyombo vya ulinzi kudumisha amani.View attachment 3596809