Wahutu wanataka kuitumia Nchi hii ya Wajinga kama launch pad kurudi nyumbani na Trust me kwenye hii game ni vijana wetu wa Kitanzania ndio watakao teketea..pengine dokezo lileee lilimhusu huyo mwamba
Sure"...nitakapobaini nitarejea haraka sana kwa mama..."
hapa ameonyesha bosi wake yupo mwenye mamlaka
Well said my friend!!!Nimejiuliza sana!
Akiongea mbele ya hadhira ya mashahidi wa kiapo pale Ikulu Chamwino makamu wa Rais wa Jamhuri ya Tanzania daktari Isdory Mpango pamoja na kutoa maagizo mbalimbali kwa wateule na watendaji wa Serikali lakini ni dhahiri ameongea kama yeye ndiye mkuu wa Nchi.
'Nataka kufika Disemba wizara ya fedha hakikisheni mapato yanafikia trilioni mbili' amesema Daktari Isdory.
Aliendelea kusema; 'nitawafuatilia kwa umakini mkubwa hasa watendaji wazembe na nitapobaini haraka sana nitarejea kwa mama na kumweleza yule hatufai na tutakubadirisha mara moja!'
Hoja hapa kwa sababu gani Daktari Isdory ameonyesha kuongea kwa kujiamini namna ile mbele ya mamlaka yake kama vile yeye ndiye mamlaka ya mwisho?!
Good observation!"...nitakapobaini nitarejea haraka sana kwa mama..."
hapa ameonyesha bosi wake yupo mwenye mamlaka
Jana Rais MH Samia alieleza Kwamba atamtumia katika masuala mbali mbali ikiwemo Uchumi ACHA UCHONGANISHINimejiuliza sana,
Akiongea mbele ya hadhira ya mashahidi wa kiapo pale Ikulu Chamwino makamu wa Rais wa Jamhuri ya Tanzania daktari Isdory Mpango pamoja na kutoa maagizo mbalimbali kwa wateule na watendaji wa Serikali lakini ni dhahiri ameongea kama yeye ndiye mkuu wa Nchi.
'Nataka kufika Disemba wizara ya fedha hakikisheni mapato yanafikia trilioni mbili' amesema Daktari Isdory.
Aliendelea kusema; 'nitawafuatilia kwa umakini mkubwa hasa watendaji wazembe na nitapobaini haraka sana nitarejea kwa mama na kumweleza yule hatufai na tutakubadilisha mara moja!'
Hoja hapa kwa sababu gani Daktari Isdory ameonyesha kuongea kwa kujiamini namna ile mbele ya mamlaka yake kama vile yeye ndiye mamlaka ya mwisho?!
Sure!"...nitakapobaini nitarejea haraka sana kwa mama..."
hapa ameonyesha bosi wake yupo mwenye mamlaka
Pamoja na majukumu ya kikatiba, hili la usimamizi wa fedha za serikali ndilo jukumu alilopewa na Rais baada ya kuapishwa kuwa Makamu wa Rais. Kuna shida yeye kutekeleza majukumu yake?Nimejiuliza sana,
Akiongea mbele ya hadhira ya mashahidi wa kiapo pale Ikulu Chamwino makamu wa Rais wa Jamhuri ya Tanzania daktari Isdory Mpango pamoja na kutoa maagizo mbalimbali kwa wateule na watendaji wa Serikali lakini ni dhahiri ameongea kama yeye ndiye mkuu wa Nchi.
'Nataka kufika Disemba wizara ya fedha hakikisheni mapato yanafikia trilioni mbili' amesema Daktari Isdory.
Aliendelea kusema; 'nitawafuatilia kwa umakini mkubwa hasa watendaji wazembe na nitapobaini haraka sana nitarejea kwa mama na kumweleza yule hatufai na tutakubadilisha mara moja!'
Hoja hapa kwa sababu gani Daktari Isdory ameonyesha kuongea kwa kujiamini namna ile mbele ya mamlaka yake kama vile yeye ndiye mamlaka ya mwisho?!
Ndugu, utakuwa unaota ndoto ya mchana!Wahutu wa Rwanda, watamtumia Dr Mpango ili kukamilisha "Mpango" wao wa kurudi Rwanda iwapo Mpango atakuja kuwa Raisi.
Yeye hawezi kutumbuliwa tena,hiyo nafasi labda afe au mengine.Lakin hamna wa kumtoa hapo kwa kumtumbua .So lazima awe na confidenceNimejiuliza sana,
Akiongea mbele ya hadhira ya mashahidi wa kiapo pale Ikulu Chamwino makamu wa Rais wa Jamhuri ya Tanzania daktari Isdory Mpango pamoja na kutoa maagizo mbalimbali kwa wateule na watendaji wa Serikali lakini ni dhahiri ameongea kama yeye ndiye mkuu wa Nchi.
'Nataka kufika Disemba wizara ya fedha hakikisheni mapato yanafikia trilioni mbili' amesema Daktari Isdory.
Aliendelea kusema; 'nitawafuatilia kwa umakini mkubwa hasa watendaji wazembe na nitapobaini haraka sana nitarejea kwa mama na kumweleza yule hatufai na tutakubadilisha mara moja!'
Hoja hapa kwa sababu gani Daktari Isdory ameonyesha kuongea kwa kujiamini namna ile mbele ya mamlaka yake kama vile yeye ndiye mamlaka ya mwisho?!
Mpango anatakiwa awekwe chini achorewe mipaka yake. Akijifanya kujiinua mabega atanunuliwa na kukabidhiwa mkasi mpya lwa ajili ya kufanyia uzinduzi.Nimejiuliza sana,
Akiongea mbele ya hadhira ya mashahidi wa kiapo pale Ikulu Chamwino makamu wa Rais wa Jamhuri ya Tanzania daktari Isdory Mpango pamoja na kutoa maagizo mbalimbali kwa wateule na watendaji wa Serikali lakini ni dhahiri ameongea kama yeye ndiye mkuu wa Nchi.
'Nataka kufika Disemba wizara ya fedha hakikisheni mapato yanafikia trilioni mbili' amesema Daktari Isdory.
Aliendelea kusema; 'nitawafuatilia kwa umakini mkubwa hasa watendaji wazembe na nitapobaini haraka sana nitarejea kwa mama na kumweleza yule hatufai na tutakubadilisha mara moja!'
Hoja hapa kwa sababu gani Daktari Isdory ameonyesha kuongea kwa kujiamini namna ile mbele ya mamlaka yake kama vile yeye ndiye mamlaka ya mwisho?!
Na mama kampigia za kichwa tirion 2 bila ubunifu? Kubambkia watu makesi ya kodi,Nimejiuliza sana,
Akiongea mbele ya hadhira ya mashahidi wa kiapo pale Ikulu Chamwino makamu wa Rais wa Jamhuri ya Tanzania daktari Isdory Mpango pamoja na kutoa maagizo mbalimbali kwa wateule na watendaji wa Serikali lakini ni dhahiri ameongea kama yeye ndiye mkuu wa Nchi.
'Nataka kufika Disemba wizara ya fedha hakikisheni mapato yanafikia trilioni mbili' amesema Daktari Isdory.
Aliendelea kusema; 'nitawafuatilia kwa umakini mkubwa hasa watendaji wazembe na nitapobaini haraka sana nitarejea kwa mama na kumweleza yule hatufai na tutakubadilisha mara moja!'
Hoja hapa kwa sababu gani Daktari Isdory ameonyesha kuongea kwa kujiamini namna ile mbele ya mamlaka yake kama vile yeye ndiye mamlaka ya mwisho?!
Haaa!Trilion mbili kwa mwez?Mbona tutabakia mifupa tu.Hayat mwenyewe alikuwa anaishia trilion na point tumechoka hv.Je?Trilion mbili?Zetu dua.Nimejiuliza sana,