Opportunity Cost
JF-Expert Member
- Dec 10, 2020
- 8,996
- 6,922
Kama ndivyo nasi yuko sawa mama ka deligate powerPamoja na majukumu ya kikatiba, hili la usimamizi wa fedha za serikali ndilo jukumu alilopewa na Rais baada ya kuapishwa kuwa Makamu wa Rais. Kuna shida yeye kutekeleza majukumu yake?