Dkt. Philip Mpango leo kaongea kama mkuu wa Nchi

Achana na huyu mchonganishi. Atavukaje mipaka kama kasema hivi, "nitapobaini haraka sana nitarejea kwa mama na kumweleza yule hatufai..."
😆😆😆😆 Uongozi sio kusemeleana rafiki.

Uongozi Sheria, Taratibu na Kanuni, nothing more nothing less!!!!

Asante!!
 
Huyu mwamba anafaa kuwa raisi,raisi inatakiwa awe mwamba sio legelege..kusanya trillioni 2 atakayehama huyo siyo muwekezaji.
TRA wanafakazi kwa malengo, kila mwaka hupanga matarajio ya makusanyo ndo maana husema tumevuka lengo kwa %kadhaa au malengo hayajafikiwa kwa %kadhaa. Sasa Kama watakuaanya kwa maagizo inabidi watumie mabavu.

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
😆😆😆😆 Uongozi sio kusemeleana rafiki.

Uongozi Sheria, Taratibu na Kanuni, nothing more nothing less!!!!

Asante!!
😆😆😆😆 Uongozi sio kusemeleana rafiki.

Uongozi ni; Sheria, Taratibu na Kanuni, nothing more nothing less!!!!

Asante!!!
 
Kwa hyo Samia akita Mpango anaukwaa uraisi kizembe??
 
Kwenye kodi ni akili si nguvu.
Mfano:

Nina kampuni yenye wafanyakazi 15 na PAYE+SDL wanazolipa ni Tsh 7m per month.....

Nina mikataba na makampuni ya huduma na WT(service) ni 10m per month.....

Kisha nalipa corparate tax 20m per year.

Unakuja kunichunguza unagundua natakiwa kulipa corpaye tax ya m150 na adhabu kwa ajili nililipa kodi pungufu. Unafunga account, na mm nafunga biashara.

Mimi nakosa biashara ila wewe unakosa PAYE, SDL, corparate tax na witholding tax. Pia unapunguza purcharsing power kwa unemployment uliyotengeneza sababu ya m150 unayoitaka sasa hivi.
 
Nimejiuliza sana,

Akiongea mbele ya hadhira ya mashahidi wa kiapo pale Ikulu Chamwino makamu wa Rais wa Jamhuri ya Tanzania daktari Isdory Mpango pamoja na kutoa maagizo mbalimbali kwa wateule na watendaji wa Serikali lakini ni dhahiri ameongea kama yeye ndiye mkuu wa Nchi.

'Nataka kufika Disemba wizara ya fedha hakikisheni mapato yanafikia trilioni mbili' amesema Daktari Isdory.

Aliendelea kusema; 'nitawafuatilia kwa umakini mkubwa hasa watendaji wazembe na nitapobaini haraka sana nitarejea kwa mama na kumweleza yule hatufai na tutakubadilisha mara moja!'

Hoja hapa kwa sababu gani Daktari Isdory ameonyesha kuongea kwa kujiamini namna ile mbele ya mamlaka yake kama vile yeye ndiye mamlaka ya mwisho?!
Unapotosha, kuna sehemu ametumia wingi lakini wewe uje quote umoja..
 
Hili zee ndilo lililofilisi wafanya biashara na kukimbiza wenye mitaji mikubwa kwenda kuwekeza nchi zingine
Ila nashukuru mama Samia rais wa JMT ameshushua indirect kwamba kukusanya kodi sii kwa kutumia miguvu ila ni kwa akili ili vyonzo visiuawe kama ilivyokua inaelekea hapo nyuma.
 
Aliendelea kusema; 'nitawafuatilia kwa umakini mkubwa hasa watendaji wazembe na nitapobaini haraka sana nitarejea kwa mama na kumweleza yule hatufai na tutakubadilisha mara moja!

Kusema ' NItarejea kwa mama na kumweleza"" ndio kusema kama mamlaka ya mwisho? Mamlaka ya mwisho ni ya Rais pamoja na msaidizi wake mkuu!!
 
Nimejiuliza sana,

Akiongea mbele ya hadhira ya mashahidi wa kiapo pale Ikulu Chamwino makamu wa Rais wa Jamhuri ya Tanzania daktari Isdory Mpango pamoja na kutoa maagizo mbalimbali kwa wateule na watendaji wa Serikali lakini ni dhahiri ameongea kama yeye ndiye mkuu wa Nchi.

'Nataka kufika Disemba wizara ya fedha hakikisheni mapato yanafikia trilioni mbili' amesema Daktari Isdory.

Aliendelea kusema; 'nitawafuatilia kwa umakini mkubwa hasa watendaji wazembe na nitapobaini haraka sana nitarejea kwa mama na kumweleza yule hatufai na tutakubadilisha mara moja!'

Hoja hapa kwa sababu gani Daktari Isdory ameonyesha kuongea kwa kujiamini namna ile mbele ya mamlaka yake kama vile yeye ndiye mamlaka ya mwisho?!
Ama kweli ukishangaa ya Musa Utayaona ya Firauni.Yale Yale Bora nifunge duka langu nikalime.
 
Kama ulisikiliza Jana kauli ya rais mama Samia suluhu Hassan usingeshangaa hata kidogo kauli ya makam wa rais Dr mpango.. Jana 31/4/2021 Rais ktk hotuba yake alitoa agizo kwa Dr mpango kwenda kusimamia hali ya uchumi na mapato ya serikali.. Leo 1/4/2021 Dr mpango anatimiza majukumu yake ya kikazi aliyopangiwa... Kwa kuanza na mwigulu nchemba kumpa maagizo ili kazi ianze Mara moja..
31/03/2021
 
😆😁😄😃😀Hatari Sana, Sasa Hivi Anajichotea Atakacho Popote
Katiba Mpya Ije
 
Naitafakari kwa kina hii post kwa sasa baada ya malalamiko ya taarifa ya CAG kumuelemea mama!! Kuiokoa nchi na CCM pia ni lazima Dr Mpango na Kassimu Majaliwa wafanye kazi kama vile Rais hayupo. Kilichotokea juzi pale Uwanja wa Uhuru tena mbele ya wageni mashuhuri ni aibu kubwa!! Watanzania wamemchoka
 
Nini kilitokea mkuu?
 
Back
Top Bottom