Njoo tulime wote mkuu,kilo moja 600 mtaji kulima 1300/kg unaonaje?Huyu uchwara anaendesha nchi kama Fundi garage NGUVU NYINGI AKILI KIBABALima pamba viwanda vya nguo Vinakuja acha kulalamika. Pamba inalipa sana nasikia
walifikiri tutaisoma namba upande huu wakajisahau nao wanapita mulemule, huku wamejitoa ufahamu wakiimba ccm ni ileile hawakuuelewa msemo hata huo kiundani. Shobo dundo zimeisha mkuu angalia buku7 nao wameufyata [emoji12] [emoji23] [emoji23]Tumeyataka wenyewe
Hiyo ndio hali halisi na ndio ukweli wa bandari yetu mizigo mingi ilikuwa hailipiwi kodi hivyo ni bora wasije kabisa...!
Naipongeza serikali kwa hatua hii ya kudhibiti kwa sasa tunajua kabisa tunapata mizigo ya aina gani na kiasi gani.. Nina hakika kwa sasa mtu akiagiza gari lake hato ibiwa...!
Mungu yupo tuMwaka huuuuu tutakufaaaa
Tujiandae kufunga mikanda kama baada ya vita ya kageraNina masikitiko makubwa sana kwa kufikia hapa tulipo fikia
hapo unachangia,huku machozi yakikulenga lenga!
Propaganda za kitoto SEMENI UKWELI NCHI INAYUMBA SANAHivi mizigo ya wizi inaumhimu gani wa kuwepo ni bora ibaki michache ambayo unalipa kodi hakuna namna nyingine.
Hao ndio vijana wa lumumbaYani we hapo we umefikiria kodi tu! Hujawaza ajira NA mnyororo Wa biashara! Aiseee kweli nchi yetu ni maskini kwa vyote
Kwa wale mnaolalamika poleni sana.. kwa wale walioisoma namba poleni zaidi.. kwa wale msiojua kinachoendelea ila still mnalalamika poleni zaidi na zaidi. Kwa wale ambao hata bandarini hawajawahi kufika na hata hawaelewi kinachoendelea ila still wanalalamika nawatakia pole pia.. kwa wale mnapinga tu as long as mwonekane mnatoka upande gani poleni sana pia..
Ukweli mchungu ni..
HAMNA MTAKACHOWEZA KUFANYA..au KUBADILISHA
Endeleeni kulalamika..
Hata mimi layman nimeielewa hii concept .Usafirishaji ni sekta muhimu kwa biashara yoyote duniani, ili biashara endelevu iwepo ni lazima kwanza kuwepo na MAHITAJI pili kuwepo UZALISHAJI tatu kuwepo USAFIRISHAJI au USAMBAZAJI hapo biashara hufanyika ni kanuni mojawapo ya biashara baina ya wauzaji na wanunuzi kimoja wapo kikikosekana biashara huwa ni ngumu kufanyika kwa muelekeo huo wakulima wetu watapata wakati mgumu kuuza bidhaa zao kama vile choroko, dengu, mbaazi, giligilani ambazo zote hizo hutumika kidogo sana nchini , kiasi kikubwa husafirishwa nchi zs mashariki ya kati ambao ndio walaji wakubwa wa bidhaa hizo mamia ya matani kama sio maelfu ya matani , na zote hizo husafirishwa kwa meli kubwa kubwa ambazo huja nchini kushusha bidhaa kutoka China India ,Japan na kwingineko na kawaida za meli hufanya biashara zake kama dala dala yaani hushusha na kupakia na huzunguka duniani kote kwa stail hiyo hiyo isipokuwa baadhi chache sana zile ndogo ndogo hupata mizigo ya kwenda mahali pamoja
Sasa ikiwa meli zinakuwa chache bandarini kuna maanisha shusha pakia itakuwa kwa kiasi kidogo sana hiyo itasababisha gharama za usafirishaji huenda zikawa ghali kwa maana hiyo atakaye fidia ughali wa usafirishaji akawa mkulima kwa kununuliwa bidhaa zake kwa bei pungufu kuliko miaka iliyopita , huu ni mtizamo tu
H
Hii ni uthibitisho tosha juu ya nchi ilivyokuwa inaliwa. Kuambiwa walipe kodi wameamua kutimua! Hongera Rais kwa kuondoa mtandao Wa wasiolipa kodi bandarini.
Kwenye ukweli kubali tu huo ubishi hautakusaidia chochote hapo bandarini ni sawa na pembe la ng'ombe halifichikiMachozi yanawatoka wale walikuwa wanawaibia wengi. Sasa wanaona uchungu na maisha magumu Kama vile wengi wao walikuwa wakiona wakati wanaweka pesa za uma mifukoni. Matokeo yake wagonjwa walilala chini, wajawazito walizalia chini na watoto wetu wakikaa chini na shule hazina vyoo.. Sasa niulize, pesa hizi za bandali zilikuwa zikienda wapi? Kwa sasa bandali iko tupu, lakini watoto wetu wanakaa kwenye viti, na mahospitali yameanza kupata vitanda. Je pesa za bandali ni nani katuwekea? Wakati Rais Magufuli alikuwa sefu haina hata pesa za kulipa mishahara ya wafanyakazi wa serikali?