Domhome
JF-Expert Member
- Jun 28, 2010
- 3,197
- 3,930
Unafiki wa Magufuli ni wa kiwango cha Shetani !!Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM, Dkt. John Magufuli amesema Waziri wa Ulinzi anauwezo mkubwa hata wa kupindua nchi kwa kuwa vifaa vyote viko chini yake
Aidha amemsifu Dkt. Hussein Mwinyi, ambaye ni mgombea urais Zanzibar kuwa alikuwa waziri wa Ulinzi kwa miaka 11 na hakuwa na tamaa ya kutaka kupindua nchi
Kutokana na sifa hizo amesema atapata wakati mgumu kumpata Waziri wa Ulinzi mwenye kaliba ya Dkt. Hussein Mwinyi kwa muhula wa 2020-2025
Ameyasema hayo alipokuwa kwenye mkutano wa kampeni viwanja vya Mnazi Mmoja, Zanzibar
Kwanza sisi hatukuchagui tena. Acha kujitoa ufahamu...