Huna akili wewe, kwa hiyo ulitakaje?Bado anaendeleza mambo ya ubaguzi wa kikanda?!
Kapiga ndege wanne kwa mpigoKwahiyo kaharibu makazi ya watu wengine wenye shughuri maalumu!!!!! Kazi ipo.
Kwahiyo kumbe mpaka pale bungeni nyumba za wabunge na mawaziri kuna mbuga za wanyama maana lisu alipigwa risasi maeneo yaleCheki alivyo na akili Dk Magufuli mapori yalikuwa yakifuga majambazi kaweka mbuga za wanyama ukiingia tu kwenye mbuga kama sio mtalii ni risasi unadungwa PIA hizo mbuga hizo kaona hazina hazina uwanja wa kimataifa karibu na mbuga kaujenga uwanja wa ndege Chato wakitua tu na ndege zao safari kwenye mbuga zilizo jirani na uwanja
hueleweli ulichoandikaKwahiyo kumbe mpaka pale bungeni nyumba za wabunge na mawaziri kuna mbuga za wanyama maana lisu alipigwa risasi maeneo yale
Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
We mwenyewe si unasikia hapo anavyosoma. Angalia kiongozi sahihi wa kuchagua. Ila nafikiri Sasa twende na Lissu. Mimi Sina chama wala si mwanachama wa Chadema. Ila mwaka huu ndaenda kumpigia kura Lissu. Nahitaji mabadiliko.Bado anaendeleza mambo ya ubaguzi wa kikanda?!
Kweli kabisa. Matumizi mabaya ya pesa za imma kisa ukandaSehemu ambazo zina asili ya utalii na ambazo hazihitaji nguvu kubwa kuinua utalii katika hayo maeneo zimetelekezwa badala yake wanaenda kutumia pesa nyingi sehemu nyingine...
Hayo maeneo yanapita ukubwa wa mbuga za Burigi na Ibanda na Rumanyika zilizoko kanda ya ziwa ?Sehemu ambazo zina asili ya utalii na ambazo hazihitaji nguvu kubwa kuinua utalii katika hayo maeneo zimetelekezwa badala yake wanaenda kutumia pesa nyingi sehemu nyingine...
Hizo ndio sera za chadema??!Wanaoweza kumpigia Kura Magufuli wanywa gongo na waliokata tamaa ya maisha TU!! Ila vijana wenye malengo ya kimaisha hawawezi kufanya huo upuuzi.
Lisu hamna Kitu Dr magufuli akikohoa kwenye mkutano wa kampeni msubirie Lisu mkutano wake unaofuata utamsikia akihoji kwa nini Raisi Magufuli alikohoa kwenye mkutano wa kampeni badala ya kuhutubia?Safi sana tunataka kusikia mipango mgombea aliyonayo sio masimango tu kama anavyofanya mgombea mmoja.