Albaab
JF-Expert Member
- Jun 6, 2015
- 1,606
- 2,280
Basi anaweza kuwa perfect matchNinachofahamu ni alisoma Moshi Tech kipindi hiko kisha kusoma FTC pale DIT then degree UDSM.
Chamuriho alikuja kuwa lecturer katika Department ya Structural engineering pale Udsm Coet, Kabla ya kuja kuwa Permanent Secretary wa Wizara ya Ujenzi.
I'm Honoured nilikuwa naye Mlimani August 2020 tukabadilishana mawili matatu.
Shortly: Anapenda sana Shule.
Sasa ni zamu yake kunyolewa kipara, awe mpole tuNi muhimu kusimamia haki, yule mama alifurahi kabisa tukiporwa ushindi na aliona haki ikipokwa. Kwa kejeli alitutamkia kuwa hata tukipiga kura kule ni sawa na kumwaga sukari Ziwa Victoria, wao ndiyo wataunda serikali.
Sasa serikali iliyoundwa bila haki inataka kumpoka haki yake.
