Najionaje juha mkuu wakati official notification ilikuwa haijatoka? Ya mitandaoni mbona mengi unataka tuamini hovyo hovyo?? Maana mtandaoni tuliambiwa Mh. Mpango katangulia mbele za haki, nikweli? Lakini pia tuliambiwa lowasa katangulia mbele za haki vp nikweli?? Lakini tuliambiwa pia mwinyi katangulia mbele za haki vipi ni kweli? Kuamini vitu hovyo hovyo yena vinavyo toka kwa wahuni wa mitandaoni ndio ujua mkuu.Unajisikiaje Leo ukisoma hii msg hujioni juha? polokwane
Mwosha huoshwa.Ni muhimu kusimamia haki, yule mama alifurahi kabisa tukiporwa ushindi na aliona haki ikipokwa. Kwa kejeli alitutamkia kuwa hata tukipiga kura kule ni sawa na kumwaga sukari Ziwa Victoria, wao ndiyo wataunda serikali.
Sasa serikali iliyoundwa bila haki inataka kumpoka haki yake.
PhD holder alifanya mazungumzo ya ndege zetu kule CanadaKuna huyu Mtanzania anaitwa Dkt. Leonard Chamuriho, huyu ni nani hasa katika historia ya Tanzania?
Nini mafanikio yake katika utumishi wa Tanzania? Naomba tumjadili kwa pamoja hapa free media JF.
Pia soma > Dkt. Leonard Chamuriho atajwa na Rais kuwa ni mtaalam wa kufanya mazungumzo - "Negotiation Expert". Je, hawa watu tunao wangapi?
Ndugu Victoire hapa ulinduguishwa na yule wa "anachapa kazi" mista piko.Forward wapi ?Jiwe yupo hai kabisa na anaelekea kuishinda rona.
Hello Victoire .Inategemea na unaweza ona kuna ambao wanakuwa na Corona hata dalili hawana. Siyo automatic kuwa kwa vile kapata Corona basi atapata Permanent damage. Yes yupo kwenye risk. But as for now the man is coming back. Tujiandae kwa vichambo.
Ilikuwaje hatimaye Victoire !!???Jamaa king'ang'anizi yule. Kafight for his life mpaka tone la mwisho. Na kashinda.
Kuwa na akiba ya maneno ni kuzuri.Mbona hata suala la Nairobi na India, he was too confident!??? Wadanganyao ndivyo walivyo -- confusion at worst.
Really!!??Your so-called ^mwanasheria^ must apologize. Aache kubadili tune and narrative. He has proved time and again to be a very unreliable source & cornman.
Ooops!!!Ushaambiwa achana na wanasiasa, usiwaamini.
Nnachokuomba na kukusihi, msikilize Victoire anachokisema. Namie nakuhakikishia, the folk survived.
Hata ukiwa Professor inasaidia nini?Kaacha paper yake angekua Professor, kaitupiria mbali
Siyo kweli, Dr.chamuliro ni mjita na kwao ni ukerewe na amesoma shule ya msingi huko.Ni Muha wa Kigoma
Nani kasema[emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]Kesho mtamuona mzee wetu kanisani akiwa na afya tele!! Mnalishwa matango pori yatawaumiza myoyo baadae!!
Nimejaribu kupitia story toka mwanzo naona nizakuunga unga tu!!
Ilianza nairobi
Ikaja india
Ikaja hajaondoka yuko dar
Ikaja mzena
Maneno meeengi bila ushaidi!! Kesho mnaumbuliwa!!!
yoga umetuacha solemba.And what if tomorrow u see him on a church podium! Utasema nini?