Huyo Victorie ndio nani kwenye jambo hili?mnapenda kusikia habari zinazowafurahisha ila za ukweli hamtaki.
Wewe...!Mtoa mada, kwa nini leo ndio umetamani kumfaham na si hapo kabla?
Kuna jamaa hapa na pesa zake alipata corona akawa na dalili ya mafua yasiyokwisha, kutosikia harufu n.k ikafikia mahali akiendesha gari anaongea peke yake, mara apaki gari kabla hajafika nyumbani yaani kawa kama amechanganyikiwa mpaka sasahivi.Ulichosema ni kweli mkuu..mie iliniaafect kbs brain..nilikua nawaza kwa muda mrefu mno ndo nijibu..kifupi mm.nilikua nawehuka kbs sasa sipatii picha yeye
Paskali nini? Lakini Pasco already 60. Akuchague wewe basi
Hii ni kweliKuna utafiti unaendelea kuhusu athari za corona kwa wale ambao hawakufariki. Kuna baadhi ni maselule kabisa wameshindwa hata kurudi makazini au kwenye biashara zao pamoja na kuwa wengine waliipata miezi mingi iliyopita. Na picha za MRI za brain zinaonyesha brain [emoji3447] yao iko abnormal.
Januari covid ilinipiga kisawasawa. Nilikuja kuambiwa kuwa ilikuwa yenyewe zaidi ya mwezi na nusu baada ya kupona.Kuna jamaa ameugua na hakujua kama anao kabisa...
Usisahau updatesKesho mtamuona mzee wetu kanisani akiwa na afya tele!! Mnalishwa matango pori yatawaumiza myoyo baadae!!
Nimejaribu kupitia story toka mwanzo naona nizakuunga unga tu!!
Ilianza nairobi
Ikaja india
Ikaja hajaondoka yuko dar
Ikaja mzena
Maneno meeengi bila ushaidi!! Kesho mnaumbuliwa!!!
Maneno kibao ya kulia lia point hamnamoHivi wewe mrembo unakaa kabisa kwa akili na moyo wako. Watu watanzania wamchague Lissu over JPM. Are you for real. Naona mnazunguka kila mahali kuforce mada. Yani kimsingi ninyi Ni watoto wa baba NEGATIVITY. Mmeuza akili Sasa mnaongozwa na remote. It’s really a pity but Ndo hivyo kila mtu atakula kwa urefu wa kamba yake. Sifa moja ya wanafiki hawapingani wala hawagombani mana kuanzia sura mpaka maneno yao Ni Fake.
Ndugu yangu Lissu asingeweza kuchaguliwa kuwa Rais wa JMT. Angalia tu hata maneno yake huko aliko. Kuwa Rais Ni zaidi ya uharakati.
Mnadanganyana uko kama umevithibitisha usitumie nguvu kuaminishaKwa kuwa hapa tupo JF, huyo Victoire ni member wa JF. Hakuna haja ya kusema huyo mtu ni nani hapa, cha msingi alichokisema nimekidhibitisha kwa vyanzo vyangu nnavyoviamini.
Unafikiri wewe una uwezo wa kujua mie au watu wanapenda kusikia habari gani? Hauna uwezo huo na hautakuja kuwa nao mkuu.
Mrembo, uwe na adabu kwa kiongozi wako.,.Kamegoma kufa.
Yaani miili yetu ni funza. Ikitokea tuu umeswitch kwa upande ule hapo hapo unageuka kuwa funza weeengi 😂😂Maggot
Kifo nakiogopa sababu ya hao maghot
Sijui wanakuwa formed vipi manina
Mnadanganyana uko kama umevithibitisha usitumie nguvu kuaminisha
Wewe naye wawapi siyo wagita ni wajitaWagita ni watu wa majungu sana khaa
Hii ni nji ya mafununu!Kuna huyu Mtanzania anaitwa Dr. Leonard Chamuriho, huyu ni nani hasa katika historia ya Tanzania?
Nini mafanikio yake katika utumishi wa Tanzania? Naomba tumjadili kwa pamoja hapa free media JF
Duuuh Afisa KipenyoKuna course moja nilihudhuliaga Mbweni- Malindi alishawahi kunifundisha
Basi tulia sababu hakuna mwenye certified informationWapi nimetumia kuaminisha watu? Mie naandika kitu nnachokifaham na ni haki yangu kutoa maoni yangu. Nashangaa hiyu kutumia nguvu kuaminisha watu imetoka wapi?
Jamani acheni Mungu aitwe Mungu!!!Ni muhimu kusimamia haki, yule mama alifurahi kabisa tukiporwa ushindi na aliona haki ikipokwa. Kwa kejeli alitutamkia kuwa hata tukipiga kura kule ni sawa na kumwaga sukari Ziwa Victoria, wao ndiyo wataunda serikali.
Sasa serikali iliyoundwa bila haki inataka kumpoka haki yake.
Basi tulia sababu hakuna mwenye certified information
Haina neno bossNitulie? Kwanza nimerudia kusoma nilichoandika naona hakuna sehem nimekunukuu (quote) au kukutaja (mention), unajua kwanini niliandika nilipomnukuu huyo jamaa?
Mbaya zaidi ukaenda mbali kwa kusema tunatumia nguvu nyingi kudanganya watu ( sijui mimi na nani?).
Hauna na hautakua na mamlaka ya kunituliza kutoa maoni yangu mkuu. Na kwa taarifa yako nawajibika kwa nnachokiandika. Nafikiri unenielewa.
Watu wanaompenda JPM wengi wao wako vijijini na wale walioko mjini wengi wao shule haikukaa vizuri kichwani na ndiyo wamejazana facebook kupost Majungu, na ujinga ujingaWatanzania kama wewe unamaanisha. 90 % love their president. Nyie wengine wambeya tu na mnajiwekea mkakati wa kucomment then mnajiona wengi. JPM is loved. Nenda FB INSta kwenye watu na ID zao uone. Hapa unajidanganya na watu wengi Ni mkumbo hasa akijua hajulikani. Fanya kazi tunza wazazi wako wewe Acha kujidanganya.