Kama wizara ya Ujenzi basi kuna shida hapoNinachofahamu ni alisoma Moshi Tech kipindi hiko kisha kusoma FTC pale DIT then degree UDSM.
Chamuriho alikuja kuwa lecturer katika Department ya Structural engineering pale Udsm Coet, Kabla ya kuja kuwa Permanent Secretary wa Wizara ya Ujenzi.
I'm Honoured nilikuwa naye Mlimani August 2020 tukabadilishana mawili matatu.
Shortly: Anapenda sana Shule.
How sure you are? What if he created all this saga to prove you guys like gossiping?
Nawe ni mmoja wao?! Kipepeo..Kuna course moja nilihudhuliaga Mbweni- Malindi alishawahi kunifundisha
Hii kitu ni ovyo kabisa.
Mimi sina uhakika kama ilikuwa hiyo au kitu kingine. Nilipigwa homa kali. Koo kuwashwa, homa kali, kichwa, viungo kuuma, kizunguzumgu kikali ambacho nilikuwa sijawahi kushuhudia. Sasa nipo kazini lakini kuna muda nasikia kichomi upande wa kushoto mwa kifua. Sijui ni madhara yaliyosababishwa au ni tatizo jimhine. Na hapa ndiyo naona ubaya wa kuzuia watu kupimwa. Unabakia unahisi tu!
Lakini kwa ujumla, mwili upo fit kabisa. Hata wakati wa kuugua, hakuna kitu kiliniumiza kama kizunguzungu - maana siku kama 3 hivi, ilishindikana kabisa kutembea kwa kujitegemea.
Hapo tu hawana wanalolijua kuhusu afya ya JPM lakini check wanavyobwabwaja. Sijui ingekuwaje kama wangekuwa na uhakika wa afya ya mheshimiwa kwamba siyo nzuri. Ndio maana kwa nchi za watu wambeya na wapenda udaku kama tz taarifa sensitive ni za kutoweka wazi maana hawa wasivyo na akili wanaweza kudiscuss ugonjwa wa rais vijiweni mwaka mzima hata kama rais atakuwa amepona na anachapa kazi. THE COUNTRY OF UMBEYA & UDAKU!Kinachonishangaza sana ni kuwaona watu wakidiskas issues as if wanajua in and out, halafu all of a sudden wanadai mbona hatuambiwi kulikoni!??? Shame on you all mnaomwombea Rais mabaya!!!
Inategemea na unaweza ona kuna ambao wanakuwa na Corona hata dalili hawana. Siyo automatic kuwa kwa vile kapata Corona basi atapata Permanent damage. Yes yupo kwenye risk. But as for now the man is coming back. Tujiandae kwa vichambo.
Nami nitumie pleaseNimekutumia clip iangalie
Yeye siyo Chamuriro ni Chamriho. Hata hivyo makabila mengine hapa tz hususani kanda ya ziwa pia neno muriro/mlilo maana yake ni moto. Kibantu maneno mengi yanafanana hivyo usikariri maneno ya kibantu ili kujua kabila ya mtu. Huyo ni Leonard Chamriho. Ni mtu wa mkoa wa Mara. Either wilaya ya Butiama au Musoma Vijijini.
Hakuna lolote! Mtaumbuka nduguSo you don't know!!!?
Ashes to ashes,dust to dust
In ash we came in ash we shall return..
I speak no more.
Me too, pls!Nimekutumia clip iangalie
Kweli kabisa kama Trump aligomea matokea huoni kama alikuwa ameathirika na corona? Pia Boris now so kama wa kipindi kile, sasa kwa kichwa cha ndugu yetu atakuwa mtu wa namna gani?Upo sawa mkuu, nilisha pata huo ugonjwa bahati nzuri haukunichukua sana, lakini kama ukikukamata vizuri kisha oxgeni mwilini mwako ikishuka below 77% kitu cha kwanza kuathirika mwilini mwako ni ubongo, kwa hapa ulaya madakitari wanacho fanya ni kukulaza usingizini yaani coma na kukuweka ICU na kuendelea kukutibu ukipona hauta kuwa 100% fit, na utakuwa na athali za kiafya na mentali maisha yako yote.
Kwa mazingira ya Africa nina uhakika kwamba wengi wameugua Corona na wengine wanaendelea kuugua na hawajui kama wanaumwa maana immunity yao ipo strong. Kama si hivyo tungekufa kama nzi kuliko hata walivyokufa wanzungu maana mazingira yetu hygene ipo chini sana kulinganisha na developed countries.Kuna jamaa ameugua na hakujua kama anao kabisa yaani yuko kawaida kabisa
Jamaa ana super antibodies
Binadamu tunatofautiana kwa kweli
View attachment 1724874
Chahalikuna jamaa anajiita chahalali
Kwa mazingira ya Africa nina uhakika kwamba wengi wameugua Corona na wengine wanaendelea kuugua na hawajui kama wanaumwa maana immunity yao ipo strong. Kama si hivyo tungekufa kama nzi kuliko hata walivyokufa wanzungu maana mazingira yetu hygene ipo chini sana kulinganisha na developed countries.
Humu JF tapeli wapoNawe ni mmoja wao?! Kipepeo..
wa serengeti huyoYeye siyo Chamuriro ni Chamriho. Hata hivyo makabila mengine hapa tz hususani kanda ya ziwa pia neno muriro/mlilo maana yake ni moto. Kibantu maneno mengi yanafanana hivyo usikariri maneno ya kibantu ili kujua kabila ya mtu. Huyo ni Leonard Chamriho. Ni mtu wa mkoa wa Mara. Either wilaya ya Butiama au Musoma Vij