mdudu
JF-Expert Member
- Feb 6, 2014
- 6,954
- 9,857
Mbunge wa Nzega vijijini Khamis Kigwangalla amesema utafiti unaonyesha uchumi wa dunia utagrow kwa kasi mara tu baada ya COVID-19 kudhibitiwa.
Tanzania siyo kisiwa hivyo tuungane na dunia katika mapambano na tuanze utaratibu wa kufuatilia Chanjo sasa ili tusiachwe nyuma, amesema Dr Kigwangalla ambaye kitaaluma ni daktari wa binadamu
Kazi Iendelee!
Kitaaluma Kigwangala ni mganga wa Tina asili,ndiyo maana slivyokuwa Naibu waziri wa Afya alimdumbua Sana Dr.Mwaka,Akawaombe radhi kwanza wale askari wanyama pori aliokuwa anawaambia 'mzaha au sio mzaha' huku anawakung'uta push ups
He alishaludisha pesa walixoiba kipitia sanamu hii ambayo halifanani na mhusika?