Dkt. Goodluck Ole Medeye arejea rasmi CCM

Dkt. Goodluck Ole Medeye arejea rasmi CCM

Kama kawaida ya CHADEMA watatanguliza kejeli badala ya kujifanyia tathmini ya kina. Ni kosa kubwa sana la kiufundi linalorudiwa na wadau wa hicho chama.

Ni kweli hilo la kujifanyia tathmini ni jambo muhimu, na hilo sio kwa cdm tu bali ni kwa vyama vyote. Ila kama cdm wanataka kujifanyia tathmini sio kwa hawa wanaoondoka sasa na kwa aina ya sababu zinazowaondoa. Kwa unyama wanaofanyiwa cdm na ccm ni dhahiri kuwa upinzani huku serekali ikisimamia unyama huo ni hatari. Ingekuwa ccm inakubalika kwa hoja zake na utendaji ningeshawishika, ila sio kwa unyama huu
 
Kuna mijitu mipumbavu haijapata tokea,Medeye alishahamia UDP Siku nyingi,sasa hiyo chadema hapa inaingiaje?Watu wanapost vitu visivyo na logic hata kidogo,wamejawa na ushabiki wakipuuzi.
 
Too low P!! Heri sometimes unyamaze... sio siri thinking capacity yenu inatia huruma!! So kama hoja ya msingi ni utendaji wa Magufuli sasa Chadema ifanye nini? Impunguze hiyo Kasi ama?
Mkuu Lusungo, kabla hajahamia UDP, alihamia Chadema, alipoondoka alitoa hoja zake.

Sii wote wanaohamia CCM, wanahamia kwa sababu ya utendaji wa Magufuli, kuna wanaoikimbia Chadema for very genuine valid reasons, hawa ndio ninaosema
CHADEMA mjitafakari msiwabeze wahamaji, wana hoja za msingi. Adui wenu mkuu sio CCM! Lazima mbadilike
Paskali
 
Sasa tunaamini wengi wao ni wasaka madaraka, baada ya kuona wenzao wamepewa nyadhifa huko nao wanakwenda kujaribu bahati zao...
 
Wadau,

Aliyewahi kuwa Mbunge na Naibu Waziri katika Serikali ya awamu ya 4, badae akahamia CHADEMA kabla ya kutimkia UDP, Dkt. Goodluck Ole Medeye amerejea rasmi CCM leo.

Amedai ameridhishwa na kasi ya utendaji kazi wa Serikali ya awamu ya tano chini ya JPM.

Karibuni.

Kuridhishwa na utendaji na kubadili imani yako kuna uhusiano gani?
Haya mambo yananikanganya ila hata siku moja mtu akisema nahamia uislam nimerodhishwa na utendaji wa mashekh au nahamia ukristo nimeridhishwa na utendaji wa maaskofu
 
D
Na bado ....nashangaa dume limehamia kwenu kama alivyosema mjumbe wa kamati kuu. ..[emoji13] [emoji13] [emoji13] lakini kinazidi kuporomoka kila siku
dume anakimbiza majike wakazali chama kubwa uku wao wakibaki bila kizazi kijacho,watakoma.
 
Yaani mimi nitahamia ccm siku chadema wakiingia ikulu maana mm ni addicted na upinzani napenda tu upinzani,nitahamia ccm kwa kua kitakua chama cha upinzani
 
Wadau,

Aliyewahi kuwa Mbunge na Naibu Waziri katika Serikali ya awamu ya 4, badae akahamia CHADEMA kabla ya kutimkia UDP, Dkt. Goodluck Ole Medeye amerejea rasmi CCM leo.

Amedai ameridhishwa na kasi ya utendaji kazi wa Serikali ya awamu ya tano chini ya JPM.

Karibuni.
Bado Kingunge. Mmoja mmoja anarudi.
 
Mkuu Lusungo, kabla hajahamia UDP, alihamia Chadema, alipoondoka alitoa hoja zake.

Sii wote wanaohamia CCM, wanahamia kwa sababu ya utendaji wa Magufuli, kuna wanaoikimbia Chadema for very genuine valid reasons, hawa ndio ninaosema
CHADEMA mjitafakari msiwabeze wahamaji, wana hoja za msingi. Adui wenu mkuu sio CCM! Lazima mbadilike
Paskali
Mkuu Paskali, umeliona vyema tatizo la siasa za karne hii. Kutotaka kushughulikia kiini cha tatizo na kubakia kuridhika kwenye kujibu hoja kwa kutegemea kauli za matusi na mipasho.
 
Back
Top Bottom