Dkt. Goodluck Ole Medeye arejea rasmi CCM

Dkt. Goodluck Ole Medeye arejea rasmi CCM

Ndo nani tena uyo?
Hebu weka picha yake tumuone
 
Upuuzi
Its the other way round. Mimi ni mkaazi wa Muriet
 
Atabaki mboye mwenyewe akizungusha ngumi naona woote wanamkimbia!!! mzee wa mvi tayari naye anatafuta gia gani ya kutangaza kurejea tuu
 
Duh, yani huyo naye hana tofauti na tumbili...
Yani vyama vitatu tofauti ndani ya miaka mitatu!!
 
aliyekuwa mgombea uspika kupitia chadema hahaha,tutaelewana tu hakika chadema ni mpango wa shetani,hampati hata kata moja pumbavu kabisa
 
Kama kawaida ya CHADEMA watatanguliza kejeli badala ya kujifanyia tathmini ya kina. Ni kosa kubwa sana la kiufundi linalorudiwa na wadau wa hicho chama.
 
Back
Top Bottom