wakimataifa.
JF-Expert Member
- Jun 7, 2015
- 1,625
- 558
kwa mpango huo ccm wawangalie sana hao wanahamia ccm
Wakati wanajiunga CHADEMA hilo hawakulijua?.wanakimbia unafiki wa chadema
Hao wote hawahami eti kwenda kuwatumikia watz,bali ni kwa maslahi binafsi,ikiwemo kushibiswa hayo matumbo yasiyo jaa,kujihakikishia ulinzi wa yale waliyopora kwenye awamu zilizopita na kutegemea kuendeleza uporaji wakiwa huko!huyu mzee kajittajirisha sana huko chukua chako mapema na sasa anahofia kutaifishwa!Wadau,
Aliyewahi kuwa Mbunge na Naibu Waziri katika Serikali ya awamu ya 4, badae akahamia CHADEMA kabla ya kutimkia UDP, Dkt. Goodluck Ole Medeye amerejea rasmi CCM leo.
Amedai ameridhishwa na kasi ya utendaji kazi wa Serikali ya awamu ya tano chini ya JPM.
Karibuni.
What if KARDINALI PENGO akiridhishwa na utendaji wa RaisWadau,
Aliyewahi kuwa Mbunge na Naibu Waziri katika Serikali ya awamu ya 4, badae akahamia CHADEMA kabla ya kutimkia UDP, Dkt. Goodluck Ole Medeye amerejea rasmi CCM leo.
Amedai ameridhishwa na kasi ya utendaji kazi wa Serikali ya awamu ya tano chini ya JPM.
Karibuni.
Una habari na matokeo ya uchaguzi wa marudio wa madiwani?? Chadema wamechezea kichapo cha mbwa mwizi!!! Hapa Kazi tuuuu!!Kasi ya utendaji kwa mabashite ni kuangusha uchumi, bomoa bomoa, kujichotea trillions hazina bila idhini ya Bunge na kuleta hofu na taharuki kubwa nchini!!!! Shule mlizopitia mlihitimu ujinga wa kiwango cha Bashite.