Dkt. Goodluck Ole Medeye arejea rasmi CCM

Dkt. Goodluck Ole Medeye arejea rasmi CCM

Mgodi pekee wa kupata pesa za aibu na zenye nuksi ni kurudi kwa mafisiem...mgodi pekee ya kujenga jina na kupata kilicho halali ni kupambana na uovu na dhuluma za mafisiem.
 
Matokeo ya uchaguzi wa udiwani tarehe 26 November 2017 yataonesha thamani halisi ya usajili wa dirisha dogo.
 
Wadau,

Aliyewahi kuwa Mbunge na Naibu Waziri katika Serikali ya awamu ya 4, badae akahamia CHADEMA kabla ya kutimkia UDP, Dkt. Goodluck Ole Medeye amerejea rasmi CCM leo.

Amedai ameridhishwa na kasi ya utendaji kazi wa Serikali ya awamu ya tano chini ya JPM.

Karibuni.
Anasafisha njia ya laigwanan.
 
Kama kuhama ni fedha naamini chadema wangehama wote kuanzia mwenyekiti wa maisha hadi wewe mwenyewe! badala ya kijitathimini mnakimbilia sababu za kitoto!
What a joke! Yaani watu wajitathimini kwa sababu ya Medeye kwenda CCM? Nani alikwambia kuwa upinzani ni kutafuta fursa na kuwa legelege? Umeambiwa wvulana wote wataondoka, huelewi?
 
strong bila watu ...
unachesha mkuu.
kumbuka nguvu ya chama ni watu.
watu ndio haooo wanayeya.
mimi nimefurahi sana tumempata hadi dkt mihogo.
huyo lazima mkutano wake mmoja tu.chadema laki tano wanarudiCCM aah


endelea kuota
 
Back
Top Bottom