Gangongine
JF-Expert Member
- Dec 31, 2015
- 3,854
- 1,776
Wewe ni lofa kabisa. Unajiona una akili kuliko wanao rejea CCM? Labda wewe ndiye Maiti kiakili kwa kutojitambua.Hela za ccm zinaliwa kijinga sana ! Huko tuendako hadi maiti zitahongwa .
Wewe ni lofa kabisa. Unajiona una akili kuliko wanao rejea CCM? Labda wewe ndiye Maiti kiakili kwa kutojitambua.Hela za ccm zinaliwa kijinga sana ! Huko tuendako hadi maiti zitahongwa .
Aliyekuambia Tanzania kuna upinzani nani?Waliokuwa wanajalibisha kwenye upinzani lazima watarudi CCM wakapate vya bwerere.
Sasa kama wanajua wanaugwa mkono na wananchi ngumi,na bunduki za nini?Wadau
Aliyewahi kuwa Mbunge na Naibu Waziri katika Serikali ya awamu ya 4 Mhesh Olemedeye amerejea rasmi CCM leo. Ameridhishwa na kasi ya utendaji kazi wa Serikali ya awamu ya tano chini ya JPM.
Karibuni.
Huyo atamaliza hawampokeiBadoo lowasaaa
Wadau
Aliyewahi kuwa Mbunge na Naibu Waziri katika Serikali ya awamu ya 4 Mhesh Olemedeye amerejea rasmi CCM leo. Ameridhishwa na kasi ya utendaji kazi wa Serikali ya awamu ya tano chini ya JPM.
Karibuni.
Kwi! Kwi! Kwi!Wewe ni lofa kabisa. Unajiona una akili kuliko wanao rejea CCM? Labda wewe ndiye Maiti kiakili kwa kutojitambua.
Wanawezaa mpokeaa kwa mbwembwe maana anawakoseshaa ucngiziiHuyo atamaliza hawampokei
Waende wote ni haki yaO kikatiba, opposite will never die..sawa !next week lisu
Sio pesa za CCM, ni pesa zangu na zakoHela za ccm zinaliwa kijinga sana ! Huko tuendako hadi maiti zitahongwa .
Ndo ujue alivokua ccm aliwakosesha usinginzi wengine hawakujitambuaWanawezaa mpokeaa kwa mbwembwe maana anawakoseshaa ucngizii
Kifo hakiangalii wewe ni msomi wa kiwango gani ? Hivi Ole Medeye anayoyafanya unaweza kudhani anajua hata kusoma na kuandika ?Mzee ni well off itafute CV yakd..ana experience ya kutukuka kwenye utawala, nadhani ni utashi wake binafsi sidhani kama amenunuliwa..kwanza kwann anunuliwe? hana impact yyte!
Hata wewe utarudi tu CCM....weka akiba ya manenoHela za ccm zinaliwa kijinga sana ! Huko tuendako hadi maiti zitahongwa .
Wadau
Aliyewahi kuwa Mbunge na Naibu Waziri katika Serikali ya awamu ya 4 Mhesh Olemedeye amerejea rasmi CCM leo. Ameridhishwa na kasi ya utendaji kazi wa Serikali ya awamu ya tano chini ya JPM.
Karibuni.
Hela za walipata kodi, com wanajichotea hazina kuendeleza rushwa nchini.Hela za ccm zinaliwa kijinga sana ! Huko tuendako hadi maiti zitahongwa .
Thanks moderator for making necessary amendment on the heading.Wadau
Aliyewahi kuwa Mbunge na Naibu Waziri katika Serikali ya awamu ya 4 Mhesh Olemedeye amerejea rasmi CCM leo. Ameridhishwa na kasi ya utendaji kazi wa Serikali ya awamu ya tano chini ya JPM.
Karibuni.