Dkt. Goodluck Ole Medeye arejea rasmi CCM

Du! John cheyo pamoja na kujipendekeza kote bado ameporwa katibu mkuu? Mwaka huu tutaona mengi
 
Wadau,

Aliyewahi kuwa Mbunge na Naibu Waziri katika Serikali ya awamu ya 4, badae akahamia CHADEMA kabla ya kutimkia UDP, Dkt. Goodluck Ole Medeye amerejea rasmi CCM leo.

Amedai ameridhishwa na kasi ya utendaji kazi wa Serikali ya awamu ya tano chini ya JPM.

Karibuni.
Akili kma za polepole unakurupuka tu huyo yuko udp mshirika wa ccm kitambo
 
Wadau,

Aliyewahi kuwa Mbunge na Naibu Waziri katika Serikali ya awamu ya 4, badae akahamia CHADEMA kabla ya kutimkia UDP, Dkt. Goodluck Ole Medeye amerejea rasmi CCM leo.

Amedai ameridhishwa na kasi ya utendaji kazi wa Serikali ya awamu ya tano chini ya JPM.

Karibuni.
Hii ni hatari sana
 
Kamdhalilisha mwanae .......Kamdhalilisha Josephine Ole Medeye...
 
Chadema inazidi kukimbiwa Mbowe tumbo joto kavurugwa
 
Kama kuhama ni fedha naamini chadema wangehama wote kuanzia mwenyekiti wa maisha hadi wewe mwenyewe![emoji13] [emoji13] badala ya kijitathimini mnakimbilia sababu za kitoto![emoji15] [emoji15]
Ebu nipe sababu kuu moja tu ambayo inawafanya wahamie CCM?
 
Wadau,

Aliyewahi kuwa Mbunge na Naibu Waziri katika Serikali ya awamu ya 4, badae akahamia CHADEMA kabla ya kutimkia UDP, Dkt. Goodluck Ole Medeye amerejea rasmi CCM leo.

Amedai ameridhishwa na kasi ya utendaji kazi wa Serikali ya awamu ya tano chini ya JPM.

Karibuni.

Kaisadiaje UDP?
 
Back
Top Bottom