Dkt. Goodluck Ole Medeye arejea rasmi CCM

Dkt. Goodluck Ole Medeye arejea rasmi CCM

Ile habari ya Joshua Nassari na ule ushahidi wake wa tapes zake ndio imeshapotezwa!. CCM ni taasisi iliyojengwa kwa miaka mingi, vyama vingine vinaelekea huko kwenye kuwa taasisi.
 
Huwezi maliza wapinzani kwa procurement process. Unanunua mmoja mia wanajitokeza kuomba kujaza nafasi sasa lini unamaliza zoezi..
 
D

dume anakimbiza majike wakazali chama kubwa uku wao wakibaki bila kizazi kijacho,watakoma.
Mjumbe wa kamati kuu ....raisi wa mioyo yenu alisema mmpepata dume.....naona vidume vinakimbia....majike yanasalia!
 
asietaka maisha mazuri abaki tigo sie tushajihamia airtell
 
Kama zinaliwa kijinga sana kula na wewe
Wasaliti wanaula watoka mapovu mnatoselewa mbali ! Mtatumika sana kwa gharama ya fanta passion na wali ndondo kudadeki !
TMPDOODLE1511690456831.jpg
 
Wadau,

Aliyewahi kuwa Mbunge na Naibu Waziri katika Serikali ya awamu ya 4, badae akahamia CHADEMA kabla ya kutimkia UDP, Dkt. Goodluck Ole Medeye amerejea rasmi CCM leo.

Amedai ameridhishwa na kasi ya utendaji kazi wa Serikali ya awamu ya tano chini ya JPM.

Karibuni.
CCM to UDP to CHAADEMA to CCM to..........? Safari ndefu sana!
 
Aina hii yaviongozi ni wale wanaoweza kuwatafutia mama zao mahawara kwa tamaa za pesa...
 
Wadau,

Aliyewahi kuwa Mbunge na Naibu Waziri katika Serikali ya awamu ya 4, badae akahamia CHADEMA kabla ya kutimkia UDP, Dkt. Goodluck Ole Medeye amerejea rasmi CCM leo.

Amedai ameridhishwa na kasi ya utendaji kazi wa Serikali ya awamu ya tano chini ya JPM.

Karibuni.
Karibu sana Dr,mafuriko hewa ya msanii mamvi ndio yalikuvuruga,ukimfuata mzee wa mafuriko umekwisha yeye mwenyewe ni zigo na keshapoteza mwelekeo yeye na swahiba wake Mwenyekiti wa kudumu wa SACCOS ya Hai
 
Back
Top Bottom