GE2025 Dkt. Godwin Mollel: Watu wa Usalama acheni bhangi! Nguvu mnayotumia kwenye siasa itumike kuzuia wizi kwenye miradi

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Hili jambo nilishawahi kulisema mahala fulani. Kama watu wa Usalama wakiamua kuwa serious na mambo nyeti, Tanzania itapona. Hasa mambo yanayohusu ubadhilifu/ufisadi, vetting ya ukweli,nk.

Sasa unashangaa wao wanadeal na trivial issues jumlisha kuhangaika na Chadema ambayo siyo threat kwa Taifa letu. Aibu sana yaani. 🙆
 
MaCCM wanatafunana balaa!
Udiwani, ubunge mpaka urais kote pamoto balaa.
Ni fitna, majungu, rushwa, ushirikina na kuuana.
 
Hili jambo nilishawahi kulisema mahala fulani. Kama watu wa Usalama wakiamua kuwa serious na mambo nyeti, Tanzania itapona. Hasa mambo yanayohusu ubadhilifu/ufisadi, vetting ya ukweli,nk.

Sasa unashangaa wao wanadeal na trivial issues jumlisha kuhangaika na Chadema ambayo siyo threat kwa Taifa letu. Aibu sana yaani. 🙆
Sasa unashangaa wao wanadeal na trivial issues jumlisha kuhangaika na Chadema ambayo siyo threat kwa Taifa letu. Aibu sana yaani✔
 
Diamond: Nipeni barua yangu!
Wamama: Niisome!
Diamond: Nataka barua yangu !
Wamama: Niisome!
Diamond: Nasema barua yangu!
Wamama: Niisomeeeee!!!
Diamond: ayeeeeeeeeyee!!
Kinanda: tiririri riririri
 
Hili jambo nilishawahi kulisema mahala fulani. Kama watu wa Usalama wakiamua kuwa serious na mambo nyeti, Tanzania itapona. Hasa mambo yanayohusu ubadhilifu/ufisadi, vetting ya ukweli,nk.

Sasa unashangaa wao wanadeal na trivial issues jumlisha kuhangaika na Chadema ambayo siyo threat kwa Taifa letu. Aibu sana yaani. 🙆
Kweli kabisa!
 
Back
Top Bottom