TANZIA Dkt. Elineema Kisanga wa UDSM Idara ya Uchumi afariki Dunia

Rest in peace Dr.

Inauma sana kuona hazina za taifa zinapotea .
 
Ni huyo???
Screenshot_20230704-234226.jpg
 
Mazoezi watu tumeyavamia bila kujua hali za mioyo yetu. Mazoezi tunapaswa kufanya kwa kufata hali yako kiafya.

Mtu unakimbia ama kubeba vyuma kumbe spidi ya moyo wako ulipaswa ufanye mazoezi ya kutembea tu.

Binafsi nimewai kufika Apollo hospital india nilimsindikiza mgonjwa ambaye alikuwa mama yangu.

Nakumbuka niliona watu wengi wanaambiwa hawapaswi kufanya mazoezi yoyote magumu.

Wanashauriwa wawe na mazoezi mepesi mfani wanatembea evening walks.. ama wanunue stationary bikes.. jioni wawe wanaendesha baiskeli nyumbani kwao.

Kukimbia ama mazoezi magumu ni hatari sana kwa mtu ambaye unafanya kazi za ofisini muda mwingi mwili ume relax kazini
Kwa kweli.
 
Hakika mkuu, kuna watu wengi sana mazoezi yamewapeleka pabaya.

Kun Aguero almanusra afe kutokana na shida ya moyo licha ya kuwa ni mwanasoka na mfanya mazoezi wa muda mrefu.
 
Namfahamu Kisanga wa Geography Familia yake ipo Marekani? Nina lake linaanza na Danielson D Kisanga
Siyo huyo
Hakika mkuu, kuna watu wengi sana mazoezi yamewapeleka pabaya.

Kun Aguero almanusra afe kutokana na shida ya moyo licha ya kuwa ni mwanasoka na mfanya mazoezi wa muda mrefu.
Wanawake huwa hawafanyi mazoezi but huishi umri mrefu tu kuliko sisi
 
Dkt. Elineema Kisanga lecturer wa shule ya Uchumi, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam amefariki Dunia Leo asubuhi.
Taarifa zinasema kuwa mauti yamemfika akiwa mazoezini, Leo asubuhi ambapo alianguka na kufariki hapo hapo.

Kwa wale mliosoma undergraduate, masters na Phd UDSM hope mtakuwa mnamkumbuka.

R.I.P DR. tutakukumbuka daima.

itakuwa shambulizi la moyo{labda}
 
Dkt. Elineema Kisanga lecturer wa shule ya Uchumi, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam amefariki Dunia Leo asubuhi.
Taarifa zinasema kuwa mauti yamemfika akiwa mazoezini, Leo asubuhi ambapo alianguka na kufariki hapo hapo.

Kwa wale mliosoma undergraduate, masters na Phd UDSM hope mtakuwa mnamkumbuka.

R.I.P DR. tutakukumbuka daima.

Bado mbichi kabisa.Wajane tunaongezeka. R.I.P brother.
 
Mazoezi watu tumeyavamia bila kujua hali za mioyo yetu. Mazoezi tunapaswa kufanya kwa kufata hali yako kiafya.

Mtu unakimbia ama kubeba vyuma kumbe spidi ya moyo wako ulipaswa ufanye mazoezi ya kutembea tu.

Binafsi nimewai kufika Apollo hospital india nilimsindikiza mgonjwa ambaye alikuwa mama yangu.

Nakumbuka niliona watu wengi wanaambiwa hawapaswi kufanya mazoezi yoyote magumu.

Wanashauriwa wawe na mazoezi mepesi mfani wanatembea evening walks.. ama wanunue stationary bikes.. jioni wawe wanaendesha baiskeli nyumbani kwao.

Kukimbia ama mazoezi magumu ni hatari sana kwa mtu ambaye unafanya kazi za ofisini muda mwingi mwili ume relax kazini
Umetoa elimu nzuri sana.....
 
Back
Top Bottom