Elungata
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 40,343
- 33,487
Hivi we kiumbe unatoka pori gani? Natamani nikuone live maana mawazo yako mara zote yanatisha!! Sijui unafananaje maana hata jini lina logic fulani. Lakini wewe... ka!!!!!
Aha ha ha ha ha ha...kijana naona pointi za jamaa zimekutouch hasa...dah ,angalia tu usije pata pressure maana jamaa anahit point hadi watu wanago crazy.