Dk meru wa ipz apokea Mlungula Movenpick live jana usiku

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,148
Naomba nianze na shame on him
mungu ndie unaejua hii nchi inapoelekea
katika hali ya kuaibisha jana usiku kwenye mida ya saa mojananusu usku mkurugenzi wa ipz ya exterenal
akiwa amekaa na singa singa wawili wakiwa wanapiga story ..ilianza kama hivi
alifika kwanza dk baada ya hapo akaja mzee mmoja singasinga baada ya hapo wa pili akafika wakaongea tangu saa kuminambili na nusu ..ilipofika usiku yule dk akatoka nje akaingia ndani na mfuko kama anampa zawadi wale masingasinga
bila kujua amekaa na nnani akaanza kuongea nao na ilipofika wakati ule dk akaanza kuangalia kulia na kushoto ni pale recep bila aibu akamsogezea yule singa singa mfuko yule bwana alikuwa amefungua pochi si pochi imefungwa nene akaangalia na yeye kulia akaiingiza kwenye mfuko pasipo na aibu mkurugenzi huyo akaamka akaenda chooni aliporudi akachukua ule mfuko ambamo ndani uliwekwa hayo msaham sham...ni aibu kwa waliokuwwepo nandhan tulianza kucheka wenyewe na alipohisi kitu akapiga simu gafla akaita wakaja vijana wawili hao wakachukua ule mfuko wa plastick na yeye kuwafwata nyuma....nimeona si vyema haya mambo yakatupita hivi nimejua kumbe ile movenpick ni kichaka cha kugaiana pesa za milungula

mungu aturehemu kwakweli huyu ndie tunaemtegema kwenyeuwekezaji pale extrenal river sida kazi ipo
 
Kama hukupiga picha wala kumpigia kelele ya mwizi tunahesabu taarifa zako hizi kama uzushi
 
Kuna jamaa anitwa ho.... yeye anamiliki Takukuru,mtafute atakusaidia ni hodari sana wakazi.
 
hukuzaliwa nchi hii nini? vitu hivyo ni normal sana kwa Tz yetu. Na utashuhudia mengi zaidi ya hilo? kwanza huyo Dr. Meru umemjuaje tueleze na hapo wewe ulikuwa unafanya nini? nyie wote wamoja tu.
 
Kama hukupiga picha wala kumpigia kelele ya mwizi tunahesabu taarifa zako hizi kama uzushi
teheteheteheeeeeeeeeee asa kelele za mwizi halafu!? sanasana angegeuziwa kibao alaaaaa,af kama mie ni huyo jamaa wa epza nawatapeli hao makalasinga! wanaogopa polisi haooo! ila wachawi sana loool
 
Ninavyo fahamu mimi, kwa ukubwa wa tenda za EPZ, Dr. Mmmeru hawezi kupokea pesa mbuzi kama hizo, mahali open kama pale. Hao singasinga lazima ni rafiki zake na hapo wamempa tuu hela ya bia, soda au chai kama ambavyo huwa tunawapatia ndugu zetu wa traffic kila siku. Tafadhali ussiite hela ya chai ni rushwa!. Rushwa ya ukweli ni grand corruption!.
 
Kama hukupiga picha wala kumpigia kelele ya mwizi tunahesabu taarifa zako hizi kama uzushi
Mtu anaweza akawa anaona tukio lakini akakosa ujasiri wa kuita mwizi au kupiga picha au mazingira hayaruhusu lakini pia anaweza asiwe na zana kama vile camera au simu yenye camera na kwa maana hiyo jambo aliloshuhudia halipelekei kuwa uwongo kwa kuwa kakosa kithibitishocha picha na iwapo tukio lenyewe lisiwe la uzushi.
 
hukuzaliwa nchi hii nini? vitu hivyo ni normal sana kwa Tz yetu. Na utashuhudia mengi zaidi ya hilo? kwanza huyo Dr. Meru umemjuaje tueleze na hapo wewe ulikuwa unafanya nini? nyie wote wamoja tu.
Unashangaza sana, yaani wewe unaona ajabu kwa mtu kumjua au kumtambua Dk. Meru, halafu unapouliza jamaa alikuwa anafanya nini movenpick ina maana hujui kama movenpick ni hotel au unadhani mpaka uwe na kucha za almasi ndo uruhusiwe kuingia!?
 
Nilitegemea stori yake ingeishia na picha.......lakini kama takukuru waaweza kuifuatilia move......waende cctv room ya movenpick
Kama hukupiga picha wala kumpigia kelele ya mwizi tunahesabu taarifa zako hizi kama uzushi
 
Ni kweli.....je kwa sasa iwapo TAKUKURU watapata taarifa hizi watafanyaje?????
Mtu anaweza akawa anaona tukio lakini akakosa ujasiri wa kuita mwizi au kupiga picha au mazingira hayaruhusu lakini pia anaweza asiwe na zana kama vile camera au simu yenye camera na kwa maana hiyo jambo aliloshuhudia halipelekei kuwa uwongo kwa kuwa kakosa kithibitishocha picha na iwapo tukio lenyewe lisiwe la uzushi.
 
Sikua najua kama hela ya bia si rushwa......asante
Ninavyo fahamu mimi, kwa ukubwa wa tenda za EPZ, Dr. Mmmeru hawezi kupokea pesa mbuzi kama hizo, mahali open kama pale. Hao singasinga lazima ni rafiki zake na hapo wamempa tuu hela ya bia, soda au chai kama ambavyo huwa tunawapatia ndugu zetu wa traffic kila siku. Tafadhali ussiite hela ya chai ni rushwa!. Rushwa ya ukweli ni grand corruption!.
 
Labda walikuwa wanampa pesa za mchango wa Harusi..., Sababu Kadi za siku hizi unaweza ukaambiwa kiwango ni pochi nene ya pesa.
 
Nadhani hamumjui Dr Meru. Huyo bwana ni extremely corrupt fuatilia CV yake ujue ni kwa namna gani alitemeshwa nafasi ya Director General wa VETA pale Chang'ombe kwenye miaka ya mwanzoni mwa miaka ya 2000
 
Kwanini iwe ni rushwa? Japo angetupa sababu moja. Mie naiona hii ni udaku tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom