act ipo kwajili ya kudhofisha upinzani wanafadhaliwa na tiss na ccm.juzi walikuwa hapa wanashawishi vijana wajiunge na act unapewa 2000 nakadi unapewa.chakushangaza wanachosema hakina mshko ni kuponda cdm eti chama cha wakristo kweli inasikitisha
wasomi wanaipenda sana ACT
Huyu kitira naZZK wakishika chama hiki baada ya miezi6 kita kufa maana nisawa na kumukabiz mawe kichaaa.
Kama UKAWA kweli wamejiunga basi for the Case of a Common Cause na hawa ACT wajiunge na UKAWA
unajifanya hujui wakati mkakati huo umeasisiwa na chama tawala!! Good enough CDM walistuka mapema vinginevyo ni kweli kama alivyosema waziri Wasira kwamba hadi muda huu game was over!!Watapunguza kura vipi wakati mnasema hawakubaliki.
Chadema wanahangaika sana naona wamechanganyikiwa kabisa na hizi habari.
Inaelekea bila Zitto, Dr. Kitila ni mburula tu!! Na je Zitto akiukosa huo uenyekiti Kitila atahama chama?!Wakati akihojiwa na radio clouse fm asubuhi kada huyo wa chadema zamani,amesema anamtaka zitto ajiunge na act ili akagombee uwenyekiti katika chama chao kwakua ana akili nyingi sana;je wanachama wengine hawana akili? Je kwanini asiwakaribishe kugombea wanachama wote,je kwanini zitto wakati anajua yupo chadema?je hiyo ndio demokrasia waliyo isema haipo chadema?kwanini uwe na timu utegemee wachezaji wa timu pinzani?wana jamvi kumbukeni wapo wasomi wengi walijifanya wajuaji waka anzisha vyama mwisho wakafulia wao na vyama vyao wakapotea katika ramani ya siasa tz,karibuni act tz ila acheni majungu chadema ni mwalimu wenu mtake msitake,kuche kuchwe
Safi mwana. CHADEMA kilijionyesha kama chama cha kuwakomboa maskini kumbe hata pesa zenyewe wanahongwa na kina Rostam Azizi wanayedai ni fisadi.
huyo kitila akaandae waraka mwengine ili uchaguz ukifanyka ndan ya ACT wampigie kura zitto.....tena waandae mtandao ndan ya chama kuanzia ngaz ya matawi ili wamchague zitto kuwa mwenykiti kwa sabb hyo ndo eti siasa za ushindan kwa mjibu wa kitilya
kwa hili uccm umekufunga ufahamu.chadema walikurupuka bila kupima upepo. Sasa kuna wabunge 24 wa chadema wanaomuunga mkono zitto watafuata nyayo ikiwa jamaa ataondoka cdm.
Dk. Kitila Mkumbo amejitambulisha rasmi kuwa ni mwanachama wa ACT kupitia Clouds fm leo asubuhi amesema atamshauri Zitto aje kugombea uwenyekiti.
==============
JamiiForums imefanikiwa kumtafuta Dr. Kilila Mkumbo kuthibitisha habari hii. Amekiri kuongena na Clouds FM na kwamba yeye ni Mwanachama wa Alliance for Change and Transparency (ACT).
Inaelekea bila Zitto, Dr. Kitila ni mburula tu!! Na je Zitto akiukosa huo uenyekiti Kitila atahama chama?!