Nyanya mbichi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2011
- 3,716
- 2,218
Hakuna mwana siasa mkweli duniani wote wako after masilahi yao taratiiibu naacha ushabiki wa vyama.
Tundu Antipas Lissu
Hakuna mwana siasa mkweli duniani wote wako after masilahi yao taratiiibu naacha ushabiki wa vyama.
Watapunguza kura vipi wakati mnasema hawakubaliki.
Mimi ntajiunga
Chadema walikurupuka bila kupima upepo. Sasa kuna wabunge 24 wa chadema wanaomuunga mkono Zitto watafuata nyayo ikiwa jamaa ataondoka CDM.
Mwana umeokoka sasa. Kwasasa yule shetani mwenye afadhali kisha tunamuunga mkono.
Mmmhhh mkuu itakua hela wamekula ila hawatahamia
kumbuka mh Mchemba alisema hayo maneno mwaka 2012.
Dk kitila mkumbo amejitambulisha rasmi kuwa ni mwanachama wa act kupitia clouds fm leo asubuhi amesema atamshauri zito aje kugombea uwenyekiti.
Jamaa wanatisha kamanda.Yaani Uenyekiti unatangulia kabla ya ajenda?
Kama ninavyowaambia kila siku ACT-Tanzania ni chama makini cha kupambana na Chadema TU.
Hatuna kazi nyingine sisi, wala hatutaki uongozi wa lolote zaidi ya kuivuruga CDM.
Lastime tulikuwa kule ndani wakatushtukia wakatufukuza ikabidi tuje na plan B.
ACT-Tanzania chama makini kwa kuvuruga tu.
Ni bora kuwa neutral kuliko kuwa mshabiki wa upande fulani,wanasiasa wote ni baba mmoja mama mmoja.