karekwachuza
JF-Expert Member
- Dec 23, 2013
- 999
- 335
msaliti mkubwa wewe na zitto hamtuambii kitu,tamaa ya madaraka ndio imewaponza nyie,jimbo la mchemba lilikuwa halali yako kabisalakini ulishindwa kuvumilia ukiwa chadema sasa imekula kwako
Tulitarajia hili na hii ni mbinu ya watawala kudhoofisha upinzani...
nitajie kiongozi hata mmoja wa chadema ambae sio msakatonge
msaliti mkubwa wewe na zitto hamtuambii kitu,tamaa ya madaraka ndio imewaponza nyie,jimbo la mchemba lilikuwa halali yako kabisalakini ulishindwa kuvumilia ukiwa chadema sasa imekula kwako
Dk. Kitila Mkumbo amejitambulisha rasmi kuwa ni mwanachama wa ACT kupitia Clouds fm leo asubuhi amesema atamshauri Zitto aje kugombea uwenyekiti.
==============
JamiiForums imefanikiwa kumtafuta Dr. Kilila Mkumbo kuthibitisha habari hii. Amekiri kuongena na Clouds FM na kwamba yeye ni Mwanachama wa Alliance for Change and Transparency (ACT).
[/QUOT
Kwenye biblia kuna story ambayo Bwana Yesu alimuuliza mwanamke mmoja nenda kamwite mumeo. Yule mwanamke akamjibu kuwa sina mume. Yesu akamjibu kuwa umejibu vyema kuwa huna mume kwa maana hata huyu uliye naye ni wa sita na si wako.
Swali kama hilo ukimuuliza Kitila Mkumbo kuwa wewe ni wa chama gani atakujibu kuwa sina chama na ndiyo maana badala ya yeye kugombea uongozi anasema atamshauri mwenzake maana anajua yeye yuko pale tu kwa kazi maalum na ikiisha ataondoka.
Kuanzia mwaka 1995 mpaka leo Kitila Mkumbo kahama vyama kama ifuatavyo; Alitoka CCM akaenda NCCR, halafu kaingia TLP halafu karudi CCM halafu CHADEMAna sasa ACT. Vyama sita kwa muda wa miaka 18! Ni yeye ana matatizo au ni wenzake kwenye vyama wana matatizo?
Mmefuliaaaaa
Kwani Zitto bado tu yuko Chadema?Chadema walikurupuka bila kupima upepo. Sasa kuna wabunge 24 wa chadema wanaomuunga mkono Zitto watafuata nyayo ikiwa jamaa ataondoka CDM.
umeandika utumbo mtupu. wazazi wako wana hasara sana
Unamaanisha Chadema kumfukuza Zitto ilikuwa inajidhoofisha?
Watuwengine sijui vipi ninamashaka Na akili zako. Kwani chama cha siasa ni waasi Hadi wapigwe mabomu. Siasa za kupigana mabomu Na vurugu hazina nafasi Na wala sio kigezo kwamba wewe ni mpinzani. Na ndio sababu ilisababisha chadema kuchokwa Na wananchi. Hivi mnafikiria hao mnao watoa kafara hawana familia siasa gani hizo za kip*mbav* hazina nafasi sasa hivi Tanzania tunataka vyama vinavyo jenga hoja Na sio vyama vinavyoandaa vurugu Na mauwaji. Ighondo yupo Na atafanya kazi yake Kwa wapuu** kama nyie mnaopenda vurugu
hujielewi we msukule
CDM watatutoa resi ila tungeweza kuingia hapo ndani ya UKAWA ingekuwa safi lkn tuko tumejipanga tuna watu wengi kuna kitu tutapenyeza pale ili tuwavuruge TU.
ACT-Tanzani karibuni wote. Msiache kututembelea na kule New Zealand makao makuu
chadema watanzania wameshaichoka
Hasara unayo wewe kwa kusukumwa kama ling'ombe kuridhisha tumbo lako
Usiyejielewa wewe uliyejitumbukiza kwenye chama mfu. ACT nacho ni chama cha siasa?
Wakiichoka chadema ndio waje ACT? watanzania sio wajinga hivyo...
watanzania wote wazalendo wamejiunga na ACT .kasoro misukule michache kama wewe
na saccos ya mtei nayo ni chama cha siasa?
Kuanzia mwaka 1995 mpaka leo Kitila Mkumbo kahama vyama kama ifuatavyo; Alitoka CCM akaenda NCCR, halafu kaingia TLP halafu karudi CCM halafu CHADEMAna sasa ACT. Vyama sita kwa muda wa miaka 18! Ni yeye ana matatizo au ni wenzake kwenye vyama wana matatizo?
unaiga mpaka id kutafuta umaarufu usiokuwa wako.. taahira mkubwa wewe..