Association for Core-betrayers Transformation (ACT). Hongereni sanaaaaa.
utashindana lakini utashindwa. ACT ni chama makini sana
Association for Core-betrayers Transformation (ACT). Hongereni sanaaaaa.
Huyu anatafuta gia ya kuinadi ACT. Sijui kwanini wanajiita Alliance for Change and Transparency wakati wenyewe wanajifichaficha. Dr. Kitila, mh. Zitto siyo dini inayohitaji kuabudiwa, Tanzania tunahitaji kiongozi muadilifu na wenye matendo yaliyonyooka ili watanzania tumwamini na kumpa dhamana.
Chadema imefika mwisho wa reli
amesema pia kama mwanachama wa ACT angependa sana na kuwashauri viongozi wa ACT wamchukue ZZK kwa sababu ni kiongozi mwenye kipaji cha siasa ,,pia amekanusha kuwa yeye sio kiongozi ndani ya chama hiko kwa sababu kazi za serikali anazofanya sasa(mtumishi wa umma) na uongozi wa chama na siasa ni kinyume cha sheria
Dk kitila mkumbo amejitambulisha rasmi kuwa ni mwanachama wa act kupitia clouds fm leo asubuhi amesema atamshauri zito aje kugombea uwenyekiti.
unajiaibisha sana... Haya maneno ukiyasoma mwenyewe unaona aibu.. Kweli kushkiwa akili ni kubaya sana
Chadema kama lengo lilikuwa ni kuwa na chama cha kikabila au kidini wameshafanikiwa sasa chama cha upinzani cha kitaifa kimeshapatikana. Tunasonga mbele.
Tunachofanya ACT-Tanzania ni kupunguza kura za Chadema, tunajazwa nguvu kisha tutanunua wanachama kama tulivyofanya b4 ili kupata usajili wa kudumu hivyohivyo ktk uchaguzi wa 2015 tutakuwa na vijinguvu fulani kumbuks ni vya kupambana na chadema TU
Zitto tumeshamchukua sasa tutashawishi na wengine wahamie ACT chama makini kwa kuwajaza noti za ukweli ili tu kupunguza idadi ya kura na wabunge wa CDM.
Tumejipanga kimkakati kwa kweli.
Kwa sababi Zitto tumeshamdaka kama tulivyopanga sasa tutamtumia yeye kuleta wengine kutoka huko CDM na mamluki wengine watakuwa wanajifanya wanatoka CUF, CCM, TLP, NCCR kuja ACT ili tuwagrab hawa wa CDM
Hii ni kwa idhini tuliyopewa na serikali iliyopo madarakani inayoongozwa na chama tawala CCM, kazi yetu kuu ni kudhoofisha upinzani.
ACT-Tanzania chama makini
Act ndiyo mpango mzima
Kubaya sana nakwambia wewe hangaika na hao watu wako. Sisi ACT-Tanzania tumejipanga haswa
Hii ni operation maalum ya kupambana na Chadema TU.
ACT chama makini

waasisi wa ACT ni watatu tu - Zitto, Mkumbo na Mwigamba!!
Hiki ni chama kilichoasisiwa mahsusi kupunguza kura za CDM 2015 ili CCM ipate ahueni - nyie mtaona kama kitapigwa hata bomu moja kwenye mikutano yake!!
nitajie kiongozi mwadilifu unaemjua