Dk. Kitila Mkumbo ajitambulisha rasmi ACT

Dk. Kitila Mkumbo ajitambulisha rasmi ACT

Hapo ndipo wanapotudanganya.....

Zito ajiunge vipi wakati yeye ndie muhasisi wa ACT?
Na ukiongea offline na yeye mwenyewe anakili hilo, na hata kitila nae anakili hilo mkikutana, hawa jamaa wanamfichaficha kuna kitu wakiogopa

Zitto ni mwanachama wetu ktk chama makini cha ACT muda mrefu hata kabla chama hakijasajiliwa, Zitto tupo nae sana ktk huu mkakati wa kuihujumu Chadema.
ACT-Tanzania ni chama makini
 
Last edited by a moderator:
chama cha watu wakaidi. Nasubiria kuona mafahari wakiishi zizimoja. wote wana kibri na wajuaji ile mbaya. Huko ni mitaa ya nyaraka juu matamko.
 
kweli sisi ccm ni chama cha mazuzu eti tumeunda chama kingine ili kishindane na cdm wakati siku hizi cdm hatuwawezi na tunawatuma vijana wa lumumba wawe wapambe wa alliance for coward kweli sisi ccm ni chama cha mazuzu

Jamani ngoja waje kwa wananchi tuwapime, ni mapema Sana kuwaita ALLIANCE FOR COWARDS AND THIEVES (ACT)
 
Huwezi kuendesha mapambano ukiwa na wahuni, wanafiki, wasakatonge na wajinga kama Zitto, Kitila na Mwigamba. Wahuni hao kutimuliwa ni uamuzi wa busara kuliko uamuzi wowote uliowahi kufanywa na CDM

Zito na mbowe nani ana historia ya uhuni? Kwa taarifa yako mbowe enzi za ujana wake alikua anafuga nywele na kuzifungia kwa nyuma kama demu... watoto ya mujini wanaita ze doni... uhuni kaufanya mbowe toka kitambo na ndo maana hata a-level alizungusha zero wakati miundombinu akiwa nayo yote.
 
kweli sisi ccm ni chama cha mazuzu eti tumeunda chama kingine ili kishindane na cdm wakati siku hizi cdm hatuwawezi na tunawatuma vijana wa lumumba wawe wapambe wa alliance for coward kweli sisi ccm ni chama cha mazuzu

Acha kujipendekeza sisiemu we msukule wa ufipa... sisiemu hawaishi na masho..g.a kama wewe.
 
Hivi hawa ACT wameshindwa kupata jina la kiswahili. Kama CCM, CHADEMA, CHAUSTA? Haya makiingereza mpaka lini? Maana tumechoka sasa.

Unajua kaka hii ni ACT-Tanzania yaani haka ni ka-branch chetu tu hapa TZ makao makuu yetu yapo New Zealand, mambo ya Ulaya ulaya huko kwa wazungu, mambo matamtam, mambo mazuri.
ACT-New Zealand tuko imara sasa tumewaletea ACT-Tanzania lengo letu KUBWA ni kupambana na Chadema TU.
Wanaisumbua sana CCM, jasho linawatoka hawapumui sasa sisi tumekuja kuokoa jahazi la CCM.
 
taahira at work
 
Angemshauri pia afute kesi ili kuachana na ubunge wa mahakama, na kupata fursa ya kugombea uenyekiti.
 
Allience for cowards and traitors

Nimekupata mkuu, ngoja niikariri kabisa,,, umesema ALLIANCE FOR COWARDS AND TRAITORS,,, or yea but ngoja tuone utendaji wao kwanza kama unatosheleza kuwaita hivyo
 
Huyu Kiltila inakuwaje akaendelea kuwa mtumishi wa umma huku akishikilia nyazifa za juu katika vyama vya siasa na Serikali inatazama tu! Hapa LAZIMA kuna mbinu chafu za serikali zinazoenedelea.

Wakati yupo chadema mbona hamkujiuliza hilo swali? Sasa yupo act ndo mnajiuliza kwann mtumishi wa serikali yupo kwenye siasa?

Kweli nimeamini kuliko kuishi na wanafiki bora ukaishi na wachati...
Chadema=unafiki.
 
Back
Top Bottom