Dk. Kitila Mkumbo ajitambulisha rasmi ACT

Dk. Kitila Mkumbo ajitambulisha rasmi ACT

Dk. Kitila Mkumbo amejitambulisha rasmi kuwa ni mwanachama wa ACT kupitia Clouds fm leo asubuhi amesema atamshauri Zitto aje kugombea uwenyekiti.

Dr. Kilila Mkumbo kuthibitisha habari hii. Amekiri kuongena na Clouds FM na kwamba yeye ni Mwanachama wa Alliance for Change and Transparency (ACT).

Huyu Kiltila inakuwaje akaendelea kuwa mtumishi wa umma huku akishikilia nyazifa za juu katika vyama vya siasa na Serikali inatazama tu! Hapa LAZIMA kuna mbinu chafu za serikali zinazoenedelea.
 
Toka fununu zianze kuenea kuwa kuna ujio wa chama kipya.

Toka dr.kitila aandike makala zake kwenye gazeti la raia mwema, kuwa kuna haja ya kuanzisha chama kipya kitakachokua mbadala wa ccm na chadema'..... hii kitu imewauma wengi sana hasa chadema na sijui kwanini?

Watu mmewafukuza wenyewe, hata wanapotaka kuanzisha njia zao za kutimiza ndoto zao bado mnaonekana kuwapiga vita.

Mnataka wasifanye shughuli yoyote ya siasa na ndo roho zenu zitasuuzika?

Acheni ukafiki na wivu za kike na wala hazitowasaidia wala kuwazuia kitila,zito mwigamba na wengi wao waliopo kwenye foleni muda si mrefu ujao kuendelea na harakati zao za kimaisha na kisiasa.

KUMBUKENI MAISHA NI VITA.
NI WAJIBU WA KILA MTU KUIPIGANA VITA YA MAISHA NA KUISHINDA. MANENO YENU HAYATOSAIDIA KITU.

safi sana mkuu.. ubarikiwe.. wape somo
 
chadema, kweli kimefulia,,,,,kama zitto na dr kitila wamekikacha sasa nani kabaki pole ,slaa au mboye wote hawa hawana jipya kwan @ mmoja ana sifa zisizo someka mbele za watanzania
 
Huyu Kiltila inakuwaje akaendelea kuwa mtumishi wa umma huku akishikilia nyazifa za juu katika vyama vya siasa na Serikali inatazama tu! Hapa LAZIMA kuna mbinu chafu za serikali zinazoenedelea.

Sheria inamruhusu. Inamzuia kuwa kiongozi tu wa cha cha siasa
 
huu mtindo wa kuanzisha vyama mwaka mmoja kabla ya uchaguzi, hautawasaidia, tuliona hayo kwa CCJ/CCK, ADC na sasa ACT, sionakama wana nia saf zaidia kusaa ulaji, na kuwakandmia waTZ chini ya kongwe la CCM

na ww kasake ulaji tuone kama utafanikiwa usilinganishe na vyama vyenu vya upendoleo Act ndio chama cha uwazi na uzalendo
 
Dk. Kitila Mkumbo amejitambulisha rasmi kuwa ni mwanachama wa ACT kupitia Clouds fm leo asubuhi amesema atamshauri Zitto aje kugombea uwenyekiti.

==============

JamiiForums imefanikiwa kumtafuta Dr. Kilila Mkumbo kuthibitisha habari hii. Amekiri kuongena na Clouds FM na kwamba yeye ni Mwanachama wa Alliance for Change and Transparency (ACT).

Amesema atamshauri zitto kuja kugombea uenyekiti, What a drama! Zaidi ya sanaa za maonesho!
 
katiba haina shida hawa chadema ndo wanaovuruga mambo wahache rongorongo huone kama katiba aitapatikana
 
Mpaka hapo nani anakataa kuwa hawa jamaa walikuwa na njama za kuteka uongozi wa juu wa cdm kwa kazi maalumu?

Mungu anaweza kumficha mnafiki kwa mda fulani na kwa reason fulani ila siko moja akamwanika hadharani.........Let just wish em mafanikio mema in ACT
usihukumu subiri majibu:israel:
 
kweli sisi ccm ni chama cha mazuzu eti tumeunda chama kingine ili kishindane na cdm wakati siku hizi cdm hatuwawezi na tunawatuma vijana wa lumumba wawe wapambe wa alliance for coward kweli sisi ccm ni chama cha mazuzu
 
Hivi hawa ACT wameshindwa kupata jina la kiswahili. Kama CCM, CHADEMA, CHAUSTA? Haya makiingereza mpaka lini? Maana tumechoka sasa.
 
Huyu Kiltila inakuwaje akaendelea kuwa mtumishi wa umma huku akishikilia nyazifa za juu katika vyama vya siasa na Serikali inatazama tu! Hapa LAZIMA kuna mbinu chafu za serikali zinazoenedelea.

Nyadhifa gani, zitaje. Usijekuwa hata sheria huijui au unamchulia!
 
Kila la heri Dr Kitila Mkumbo kwa kutuletea chama kingine. Challenge mliyonayo ni kuonyesha kuwa hamuongezi utitiri wa vyama bali mnakuja na SUBSTANCE na kuonyesha uwazi wa hali ya juu katika yale mnayokosoa CDM na CCM. In the name of democracy, nawapongeza sana
 
Back
Top Bottom