kivava
JF-Expert Member
- Apr 2, 2013
- 5,772
- 4,932
Wwe ndiye Boko Haramu?
Mwenziyo huyu anataka awe waziri wa mambo ya nje!.
![]()
Uwezo Wako ki-hoja umeishia hapo?
Wwe ndiye Boko Haramu?
Mwenziyo huyu anataka awe waziri wa mambo ya nje!.
![]()
Walio na vyeti fek wanamuogapa ajabu.
Mkuu umesomea Tanzania au wapi? Haya masomo ukipata A yanahesabiwa kama umefaulu hata kama core subjects umefeli na chuo unakwenda.
Safi sana umekuja kwenye point ya msingi. Hapo kwenye Islamic knowledge weka bible knowledge au divinity.hicho ndio kichochoro wanywa divai mlichokuwa mnakitumia.shenzi sana nyieHivi nyie mtakuwa majuha mpaka lini ndugu zangu!
Fanya hesabu ndogo tu:
Combination: HGL
HISTORY - F
GEOGRAPHY - F
E.LANGUAGE - F
ISLAMIC KNOW- A
Unaenda chuo cha nani hapo, au MUM university, mbona mnataka kudanganyana hapa. Ndivyo mnavyodanganyana madrassa?
Kuna yale masomo yanayoitwa bible knowledge na divinity hawa wagalatia walikuwa wanapitishwa tu.waislam ni marufuku kufanya mitihani ya Islamic knowledge.mama alikuwa na roho mbaya sana huyu.
Ili akaendeleze ule mtindo wa kuweka formula ktk program ili ziwafelishe waislam siyo?Ushauri kwa mh Rais Dk JPM. Huyu mama anafaa kabisa nafasi hiyo uliyoiacha kiporo na kutafuta mtu wa uhakika.
Huyu mama ni mama wa shoka kwa kasi yako hiyo ya hapa kazi tu yeye ndiye mtu sahihi kabisa. Naomba uliangalie hili kabla ya kuanua matanga ya mazishi ya elimu.
Nawasilisha kwako Mhe JPM.
Master na kushangaa Kwa kauli yako, huyu Dr.nimzuri sana, shida ni BRN
Mkuu umesomea Tanzania au wapi? Haya masomo ukipata A yanahesabiwa kama umefaulu hata kama core subjects umefeli na chuo unakwenda.
vipi ufaulu wa seminary na ule wa madrasa after ndalichako upoje?Kwa nini Wakirsto wote wanataka huyu binti awe waziri najiuliza nakosa jibu jamaa yangu mmoja kaniambia kuwa huyu ndiyo alikuwa engine ya shule za seminars na wagalatia wengine akiwauzia mitihani ya taifa kwa wamiliki wa hizo shule...daah!
Kweli. Joyce Ndalichako ni jembe
Ukiwa na ushahidi credible ulete hapa. Madai kama haya yanatumiwa vibaya na viongozi dhaifu. JPM hawezi kuyatilia maanani madai kama haya ndo maana Muhongo karudi kwenye wizara yake!
Feza boys na feza girls unazani ni za kigalatia zile?Haya basi sawa, huyu mama toka aondoke nitajie shule moja ya kiislamu ambayo imeingia hata ishirini bora mitihani ya Form four au six. Alafu nitajie kumi bora ya matokeo ya kidato cha sita yaliyopita. Shame on you. Someni acheni kulalamika, na kushinda kwenye viambaza vya misikiti.