Dk. Joyce Ndalichako atosha wizara ya elimu

Swali hili jiulize wewe mpinga maendeleo wa nchi kwanza, hoja hiyo ya udini si ndiyo unaitumia kumkataa Ndalichako!?
Mjinga mama yako na baba yako waliokuzaa nadhani unataka tujadiliane kwa hizi lugha unazozitumia kwangu, unaitwa TAWA unaendelea kutawa lini unaolewa????
 
Kua mstaarabu wewe,acha kuropoka kama bata,k... nini wewe
 
Wapuuzi wachache kama hawa ndiyo wanatuchelewesha kwa kukumbatia hoja za kise namna hii.
Mtoto mzuri unaitwa TAWA naona unakata mauno tu hapa bado una TAWA?
 
Mjinga mama yako na baba yako waliokuzaa nadhani unataka tujadiliane kwa hizi lugha unazozitumia kwangu, unaitwa TAWA unaendelea kutawa lini unaolewa????

Wewe chizi asiyekujua nani humu!!? Haya kafue kipedo chako maana nyinyi si wale waislam ambao wanaume wanavaa vipedo
 
Kua mstaarabu wewe,acha kuropoka kama bata,k... nini wewe
Usiwe punguani wewe unaagalia post yangu angalia alichoniambia mpaka nimemjibu hivyo.

Punguani wahed.
 
Wewe chizi asiyekujua nani humu!!? Haya kafue kipedo chako maana nyinyi si wale waislam ambao wanaume wanavaa vipedo
Ahahahahha mgalatia kaonyesha picha yake halisi ndiyo mimi Muislam mvaa vipendo tena na hapa nimevaa vipendo shida yako nini? Wewe ndiyo wala Wakirsto wanaoruhusu ndoa za wanaume kwa wanaume ndiyo maana unajiita TAWA unatawa unataka kuolewa.
 
Usiwe punguani wewe unaagalia post yangu angalia alichoniambia mpaka nimemjibu hivyo.

Punguani wahed.
Mkuu Ritz nilikuwa nakuheshimu sana humu na ni moja ya watu ambao mlikuwa mkipost naheshimu sana mawazo yenu wewe na Tawa lakini leo umenianhusha mkuu. Waislamu hatupo hivyo.
By the way mimi kama muislamu sioni tatizo kwa Ndalichako, hayo mengine ni kasoro ambazo hata umpeleke Mohamed, Abdul au Hussein, atakuwa nazo, hakukosea kwa kuwa yeye ni mkristo la alikosea kwa kuwa yeye ni kiumbe na hakuna kiumbe aliye kamili isipokuwa Molla pekeee.
 
Mimi sina tatizo na huyo mwanamke mimi nipo na hao wapuuzi wanaotukana Waislam nisome vizuri.
 
Kwendeni zenu nyinyi wajahidina wakubwa hamuwezi kutufanya sisi wote tukawaogopa nyinyi. Yule naye mtu amekosea na amekili dini gani hiyo yabkishetani haisamei watu. NDALICHAKO ANAFAA KUWA WAZIRI WA ELIMU KWA HAPA TULIPO.

Kafute ujinga urudi kuja kuchangia upuuzi wako humu! Wewe ni wakala wa luciffer.
 
Mimi sina tatizo na huyo mwanamke mimi nipo na hao wapuuzi wanaotukana Waislam nisome vizuri.
Sawa shekh lakini nawe ndiyo utukane shekh wangu!? Tena matusi makubwa makubwa! Tafadhal bwana.
 
Lo! Kaka inaonesha wewe msomi! Mpaka unafukuza watu wasichangie!!? Amia saudia kaka kule ndiyo nchi ya kiislamu. Mbona mnapenda kuchanganya dini na maisha ya kawaida ya watu wengine?
 
Mkuu Ritz nilikuwa nakuheshimu sana humu na ni moja ya watu ambao mlikuwa mkipost naheshimu sana mawazo yenu wewe na Tawa lakini leo umenianhusha mkuu. Waislamu hatupo hivyo.
By the way mimi kama muislamu sioni tatizo kwa Ndalichako, hayo mengine ni kasoro ambazo hata umpeleke Mohamed, Abdul au Hussein, atakuwa nazo, hakukosea kwa kuwa yeye ni mkristo la alikosea kwa kuwa yeye ni kiumbe na hakuna kiumbe aliye kamili isipokuwa Molla pekeee.

Huwezi kufuta mitihani yote ya maarifa ya kiislam halafu uache ya bibilia! Huwezi kueleweka huo ulikua ni udini ambao sio wa kufumbia macho kwa kipindi hichi,huyu mama hafai akafanyie kwenye taasisi za kidini zipo nyingi lakini sio NECTA.
 
Ningefikiri pia kama ungeanza na aliyekuwa waziri wa Elimu ndugu Shukuru Kawambwa. Au kwa kuwa yeye ni muislamu mwenzio!?
 
Mimi sina tatizo na huyo mwanamke mimi nipo na hao wapuuzi wanaotukana Waislam nisome vizuri.

Brother tusameheane, ila tukiacha udini pembeni huyu mama ni mpiganaji kweli kweli!!
 
Ukiwa na ushahidi credible ulete hapa. Madai kama haya yanatumiwa vibaya na viongozi dhaifu. JPM hawezi kuyatilia maanani madai kama haya ndo maana Muhongo karudi kwenye wizara yake!

Ushahidi gani unautaka zaidi ya ule uliotolewa ambao ulipelekea matokeo ya kubadilishwa? Zile zama za kufaulu kwa vigezo vya kidini zimepitwa na wakati. Huyu mama alikuwepo pale NECTA kwa kazi maalumu ya kanisa na wote wanaomuhitaji huyu ni kwa maslahi ya kidini si maslahi ya kitaifa. Endeleeni kutuita majinna yote mabaya lakini ukweli lazima usemwe. Kama unampenda nenda kanywe na chai.
 
Sawa shekh lakini nawe ndiyo utukane shekh wangu!? Tena matusi makubwa makubwa! Tafadhal bwana.

Kuna watu wana mambo ya ajabu humu! Kama wewe ni wakala wa kanisa kuna majukwaa mengine sio humu, Tulishasema huyu mama alionesha madhaifu makubwa sana NECTA baada ya wanafunzi wote waliofanya mitihani ya maarifa ya kiislam lufelishwa,kilichofuata alitakiwa kuwajibika, unafikiri waislam wangemfikiaje? Kwanini wa somo la bibilia hawakufanyiwa vile?
 
Ushahidi gani unautaka zaidi ya ule uliotolewa ambao ulipelekea matokeo ya kubadilishwa? Zile zama za kufaulu kwa vigezo vya kidini zimepitwa na wakati. Huyu mama alikuwepo pale NECTA kwa kazi maalumu ya kanisa na wote wanaomuhitaji huyu ni kwa maslahi ya kidini si maslahi ya kitaifa. Endeleeni kutuita majinna yote mabaya lakini ukweli lazima usemwe. Kama unampenda nenda kanywe na chai.

Haya basi sawa, huyu mama toka aondoke nitajie shule moja ya kiislamu ambayo imeingia hata ishirini bora mitihani ya Form four au six. Alafu nitajie kumi bora ya matokeo ya kidato cha sita yaliyopita. Shame on you. Someni acheni kulalamika, na kushinda kwenye viambaza vya misikiti.
 
Kwa nini Wakirsto wote wanataka huyu binti awe waziri najiuliza nakosa jibu jamaa yangu mmoja kaniambia kuwa huyu ndiyo alikuwa engine ya shule za seminars na wagalatia wengine akiwauzia mitihani ya taifa kwa wamiliki wa hizo shule...daah!

Kwa hiyo unataka kusema siku hizi shule za seminari hazifanyi vizuri? ziko sawa tu na zile za kata au seminari za wale wa mama mdogo au!
 
Back
Top Bottom