Shepherd
JF-Expert Member
- Dec 14, 2012
- 2,428
- 1,660
Hafai kashindwa kuliongoza baraza la mitihani ataweza Wizara au amewatuma mmpigie debe?
Master na kushangaa Kwa kauli yako, huyu Dr.nimzuri sana, shida ni BRN
Hafai kashindwa kuliongoza baraza la mitihani ataweza Wizara au amewatuma mmpigie debe?
Naunga mkono hoja..
Serikali ya Mkwerre iliongozwa na majungu ndio maana jembe kama huyu kawekwa pembeni...
Ni wakati wa kuyakusanya "majiwe" yote yaliyokataliwa na waashi..........
Ushauri kwa mh Rais Dk JPM. Huyu mama anafaa kabisa nafasi hiyo uliyoiacha kiporo na kutafuta mtu wa uhakika.
Huyu mama ni mama wa shoka kwa kasi yako hiyo ya hapa kazi tu yeye ndiye mtu sahihi kabisa. Naomba uliangalie hili kabla ya kuanua matanga ya mazishi ya elimu.
Nawasilisha kwako Mhe JPM.
Boko haramu wanaogopa kusoma lakini wanalazimisha madaraka. Wakaona bora taifa zima liwe la majuha kama wao ili kusiwe na kigezo cha elimu kwenye utawala. Huwezi kutegemea elimu sahihi na uongozi bora chini ya boko haramu. So mmeona??
Swali hili jiulize wewe mpinga maendeleo wa nchi kwanza, hoja hiyo ya udini si ndiyo unaitumia kumkataa Ndalichako!?
Hoja ya kipumbavu kama mtoaji. Nani anaogopa kusoma?
Ujinga Wako Ni kutamani zile Enzi za kufaulu kwa kiegezo cha dini zirudi,imbecile
Brother tusameheane, ila tukiacha udini pembeni huyu mama ni mpiganaji kweli kweli!!
Ndalichako ni mtaalamu lakini ni mbaguzi wa kidini sana.
kwa muda mfupi wa kuwa pale baraza la mihitani alilifanya baraza kuwa machinjio ya waislaam.
Kiongozi mdini kwa kiwango cha ndakichako hafai kufanya kazi serikalini anaweza kusaidia kuinua elimu kwenye vyuo vya kanisa katoliki
Wewe umeishia langapi mkuu?
Hii hoja naisikia sana naomba kujuzwa wadau upendeleo wake ni kwa shule za dini ama hata wanaotoka Government schools? Vipi performance kabla ya yy kuwepo wakati akiwepo na wakati ameondoka? Ufaulu shule za dini inayoonewa ukoje?
Kuna yale masomo yanayoitwa bible knowledge na divinity hawa wagalatia walikuwa wanapitishwa tu.waislam ni marufuku kufanya mitihani ya Islamic knowledge.mama alikuwa na roho mbaya sana huyu.
Nsjisikia aibu kwa hiki alichoandika muislamu mwenzangu hapa.
Kuna mtu anafikra za udini mpaka leo?
Kuna yale masomo yanayoitwa bible knowledge na divinity hawa wagalatia walikuwa wanapitishwa tu.waislam ni marufuku kufanya mitihani ya Islamic knowledge.mama alikuwa na roho mbaya sana huyu.
Unaona jinsi ulivyo mwehu, wenzio siku hizi wanaulizana vipi una degree ngapi? Wewe bado unazungumzia langapi!!!?
Someni jamani acheni kudanganywa na kina kipoz...eo.
Dah kama kigezo ndio hiking,safari yeti bado ni ndefu..Hayo masomo ufaulu au ufeli sijawahi kuona impact yake kwenye elimu dunia..!Kwanini tusiweke nguvu kwenye yaliyobaki kama hilo moja ndio tatizo?maana hata combination hayana Labda kwa wanaohitaji shughuli za kidini.