Dk. Joyce Ndalichako atosha wizara ya elimu

Dk. Joyce Ndalichako atosha wizara ya elimu

Ndalichako hafai kabisaa kwa uonevu wa kidini alioufanya akiwa katibu mtendaji saw NECTA. Ni katibu pekee aliyeweka historia ya kufuta matokeo ya wanafunzi na kufanya regrading kutokana na upendeleo as dhahir lea baadhi ya shule za kidini. Hatakiwi hata kidogo huyu mama mpuuzi kabisa asiyeficha hisiaw zake za kidini. Aendeq zake huko
 
mods mnalala sana huu upuuuzi si muunganishe na ule mwingine,mana leo wagalatia wameamka kumpigia debe mama mchungaji,au na nyie mnaunga mkono?
 
Huyu mama ndo mwisho was ubig results maana hakutaka huo upuuzi kabisa na wasio mpenda ni wale vilaza wa BRN
 
Labda kama Prof katibu wa wizara ile atapangiwa kazi nyingine kwanza maana huyo ndo amefika pale na kuifanya iwe chovu zaidi kwa madaraja haya ya A, B C D E F nadhani kuna hata mpango wa G. Ila kwa uhakika elimu kwa Dr yule ni zeal yake. Wale aliotufundisha alipokuwa Mlimani kabla ya kuingia baraza tunamjua vema. Hakuna marks za bure wala nn kwa hiyo anaendana sana na kauli mbiu ileee HAPA KAZI TU
 
Mdini labda kazi maalum.
Anapendelea wakristo
 
Kwan hao aliowateua aliwaomba ushauri? Au mmetumwa? Kwan yeye hamjui? Hata hvyo kama aliondolewa kwa kashfa ya kibaguzi tena ya kdn ambayo ni hatar si busara kumrejesha watendaji wazuri wapo wengi endelea na upembuzi wako yaknifu mr prezdaa
 
NAUNGA MKONO HOJA 100% NI KIKWETE TU HAWEZI KUMKUBALI GENIUS 'COS AN ALLERGY YA WATU KAMA HAO AMBAO NI HAZINA YA TAIFA. NI WAKATI MUAFAKA SASA KWA RAIS JPM KUAMSHA ILE ARI YA WENYE VIPAJI KUAMKA NA KUVITUMIA KWA FAIDA YA TAIFA HILI.i
 
Naunga mkono hoja..

Serikali ya Mkwerre iliongozwa na majungu ndio maana jembe kama huyu kawekwa pembeni...

Ni wakati wa kuyakusanya "majiwe" yote yaliyokataliwa na waashi..........

Boko haramu wanaogopa kusoma lakini wanalazimisha madaraka. Wakaona bora taifa zima liwe la majuha kama wao ili kusiwe na kigezo cha elimu kwenye utawala. Huwezi kutegemea elimu sahihi na uongozi bora chini ya boko haramu. So mmeona??
 
kwa kufuata mkumbo nasema achaguliwe kuwa waziri.
Akiwa baraza alisaidia kukamatwa kwa zombie lililochorwa Kwenye booklet ya kujibia maswali
 
Joyce Ndalichako anafaa sana kuwa waziri Wa Elimu Tanzania.
 
wizara ya elimu wasipo mpa huyu mama ni yaleyale ya mkwere na wizara ya utalii anasubiliwa MOLLEL/monaban wa Arusha maana duru zinasema awe ameshindwa/kushinda ni lazima atangazwe mshindi ili awekwe kwenye utalii.
 
Aende akaongoze vigango vya kanisa. huyu mama hafai kashafelisha watu wengi kisa dini. Kama mnampenda mpiganieni naye aitwe mwenyeheri au mtakatifu kwa kazi alizozifannyia kanisa.
 
Aende akaongoze vigango vya kanisa. huyu mama hafai kashafelisha watu wengi kisa dini. Kama mnampenda mpiganieni naye aitwe mwenyeheri au mtakatifu kwa kazi alizozifannyia kanisa.

Ukiwa na ushahidi credible ulete hapa. Madai kama haya yanatumiwa vibaya na viongozi dhaifu. JPM hawezi kuyatilia maanani madai kama haya ndo maana Muhongo karudi kwenye wizara yake!
 
Ndalichako hafai kabisaa kwa uonevu wa kidini alioufanya akiwa katibu mtendaji saw NECTA. Ni katibu pekee aliyeweka historia ya kufuta matokeo ya wanafunzi na kufanya regrading kutokana na upendeleo as dhahir lea baadhi ya shule za kidini. Hatakiwi hata kidogo huyu mama mpuuzi kabisa asiyeficha hisiaw zake za kidini. Aendeq zake huko

Kwendeni zenu nyinyi wajahidina wakubwa hamuwezi kutufanya sisi wote tukawaogopa nyinyi. Yule naye mtu amekosea na amekili dini gani hiyo yabkishetani haisamei watu. NDALICHAKO ANAFAA KUWA WAZIRI WA ELIMU KWA HAPA TULIPO.
 
Ushauri kwa mh Rais Dk JPM. Huyu mama anafaa kabisa nafasi hiyo uliyoiacha kiporo na kutafuta mtu wa uhakika.

Huyu mama ni mama wa shoka kwa kasi yako hiyo ya hapa kazi tu yeye ndiye mtu sahihi kabisa. Naomba uliangalie hili kabla ya kuanua matanga ya mazishi ya elimu.

Nawasilisha kwako Mhe JPM.

Nina uhakika BRN hawakuelew hapa.. ..
 
Back
Top Bottom