Dk. Joyce Ndalichako atosha wizara ya elimu

Dk. Joyce Ndalichako atosha wizara ya elimu

mzuri wa sura?..kanywe nae chai

Ndio nakunywa chai karibu.Simanishi mzuri wa sura,namanisha utendaji wake akiwa Baraza la mtiani ndio ulikuwa mzuri.
According to my little knowledge of philosophy "mzuri au nzuri ya sura" in english connotation unachokiona kizuri au mzuri manake ni hivi 'Beauty is in the eye of the beholder" that is what you refers as a beauty for me it can be different of what beauty is all about to you.Refers to Kant who concedes that beauty is fundamentally subjective, that every judgment of beauty is based on a personal experience, and that such judgments vary from person to person. So I didn't mean about her beauty, but I was referring to her personal performance attributed to qualities of her work performed during the time she worked at NACTE.
 
nunga mkono hojaaaaaaaaaa mama huyu apewe hii wizara😛oa
 
Wakristo nchi hii ndio wasomi lakini wameshindwa kuikwamua nchi kumbe sababu elimu zenyewe wamepewa na watu style ya bibi ndali
 
Naunga mkono hoja..

Serikali ya Mkwerre iliongozwa na majungu ndio maana jembe kama huyu kawekwa pembeni...

Ni wakati wa kuyakusanya "majiwe" yote yaliyokataliwa na waashi..........

spot on mkuu, kuna kagasheki kule wizara ya maliasili na utalii nae anatakiwa arudishwe
 
Acheni udini!!kama mtu anaweza anaweza tu!!!mbona tawala zilizopita Mwny na Jakaya nizamadudu ukilinganisha Babu Lofa na Nyrr?
 
Wakristo nchi hii ndio wasomi lakini wameshindwa kuikwamua nchi kumbe sababu elimu zenyewe wamepewa na watu style ya bibi ndali

Dr. Shukuru Kawambwa na Prof. Juma Kapuya nao waliwahi kuongoza hiyo Wizara je una lipi la kusema?
 
Hafai alitumika sana na wanamtandao wa mgombea uraisi koko mmoja kipndi kile ili kuifanya serikali ya Kikwete ionekane bogus. NECTA nako kuliingiliwa kisiasa ikaanza nayo kutunga mitihani migumu ambayo ni NECTA wenyewe tu ndio wangefaulu ili kufelisha watoto ionekane Kikwete na serikali yake kashindwa kwenye Elimu.

Kazi hii ilifanywa na wanamtandao waliokuwa kila sehemu serikali wakiwemo madaktari wanamtandao mahospitalini ambako walichochea migomo ya madaktari,Kwa walimu wakichochea migomo ya walimu n.k; kama njia ya hujuma kwa serikali wakijiandaa washike nchi.

Mungu Mwema kawakata mtandao.Ndalichako hawezi kurudi Necta.Hivi kwa nini asiende kuwa waziri wa elimu RWANDA? au akaanzishe shule binafsi Monduli au Siha kwa Mbowe?

Mungu hamfichi mpumbavu! Tayari ushajionesha. Vipi elimu yetu baada ya kutungiwa "Mitihani milaiini" na kupunguza ufaulu imekua au imedidimia. Utakuwa unaishi na kula "Lumumba" wewe.
 
Kweli kabisa Ndalichako hana mpinzani vyeti vyangu vyote vimesainiwa nae,Pia enzi zake Elimu ilikuwa bora sana.Nakupa like mleta uzi...
 
mods mnalala sana huu upuuuzi si muunganishe na ule mwingine,mana leo wagalatia wameamka kumpigia debe mama mchungaji,au na nyie mnaunga mkono?

Bola mgalatia kuliko kawa dog alivyovuruga
 
natafuta facts sijaziona
mnaosema mama jembe wekeni facts
mnaosema mama ni mdini tupeni facts
mnaosema mama alibeba ajenda za mtandao ugombera urais pia toeni facts.
yumkini magu anaweza akawa anasoma haya mambo lkn akashindwa kushawishika hoja zenu kwa kuwa zimejawa na ushabiki tu bila facts
 
Back
Top Bottom