Dk. Joyce Ndalichako atosha wizara ya elimu

Dk. Joyce Ndalichako atosha wizara ya elimu

Hii hoja naisikia sana naomba kujuzwa wadau upendeleo wake ni kwa shule za dini ama hata wanaotoka Government schools? Vipi performance kabla ya yy kuwepo wakati akiwepo na wakati ameondoka? Ufaulu shule za dini inayoonewa ukoje?

aliwafelisha waislam kwa makusudi, sasa kama ni jembe mbona hamkumpa ubunge wa viti maalum huko ukawa.
 
aliwafelisha waislam kwa makusudi, sasa kama ni jembe mbona hamkumpa ubunge wa viti maalum huko ukawa.

Ndo maana nimeomba kufahamishwa hapo kwa wanaojua kabla ya yeye kuwepo na baada ya kuondoka shule hizo zimefanya vizuri? Kuna tofauti yoyote?
 
Linapokuja jambo LA maana hapa ili kumsaidia rais na taifa kuna watu wanakimbilia kujificha kwenye udini. Dini inahusikaje kwenye mambo ya maendeleo ya nchi? Hizo dini zenu zipelekeni maeneo take siyo sokoni na kwingineko zisi,zisikohusika. Pe pendekezeni wapagani wawaongoze! Mama huyu msiyeujua utendaji wake mtambeza ila ni MTU makini Sana.
 
huyu itakuwa kazi kulumbana na kina shehe Ponda tu, Magufuli usikaribishe bifu bila sababu
 
aliwafelisha waislam kwa makusudi, sasa kama ni jembe mbona hamkumpa ubunge wa viti maalum huko ukawa.

Mungu nipe akili. Ila siyo huu up.umbavu anaohubiri huyu f.ala hapa
 
Mucous and sputum are essential in human chemistry
A little knowledge is worse than no knowledge

Yap I know it, but when it's full of mucous and sputum it is a pathological(abnormality) rather than physiological issue and the main symptom u can notice Is spitting awkward words.
 
Mungu nipe akili. Ila siyo huu up.umbavu anaohubiri huyu f.ala hapa

sasa upumbavu wangu uko wapi wakati watoto walifelishwa nayeye alikiri walifelishwa na akafukuzwa kazi kwa uzembe kazini tatizo liko wapi? na hata alivyoambiwa aliendelea kushupaa tu badala ya kufanya uchunguzi hadi ushahidi ulivyotolewa ndo akakubali, ulitaka aendelee kula bata tu.

mbona kuna watu tra wamefukuzwa na kuwekwa ndani wakati hawakuwa getini wakati makontena yakitoroshwa? hata ndalichako angekuwa ni Enzi ya majaliwa angekuwa yuko segerea.
 
Nsjisikia aibu kwa hiki alichoandika muislamu mwenzangu hapa.
Sasa mkuu wewe unakuwa mkali akigushwa huyu mwanamke na Wakirsto, lakini kwako wakitukanwa Waislam humu ni sawa kwako wala ukemie wala kuonya watu.

Teh teh teh.
 
Ushauri kwa mh Rais Dk JPM. Huyu mama anafaa kabisa nafasi hiyo uliyoiacha kiporo na kutafuta mtu wa uhakika.

Huyu mama ni mama wa shoka kwa kasi yako hiyo ya hapa kazi tu yeye ndiye mtu sahihi kabisa. Naomba uliangalie hili kabla ya kuanua matanga ya mazishi ya elimu.

Nawasilisha kwako Mhe JPM.

Mnataka afungue Dayosisi !? ......... kigango na parokia vimesambaratishwa kule NECTA Fiati
 
Last edited by a moderator:
Sifuri amepewa wizara ya Elimu KM badala take amehamisha watumishi wote halafu kaenda utumishi kuomba wengine
 
Ndo maana nimeomba kufahamishwa hapo kwa wanaojua kabla ya yeye kuwepo na baada ya kuondoka shule hizo zimefanya vizuri? Kuna tofauti yoyote?

Ilikia mahali Zanzibar walianza mchakato wao wakuunda baraza lao la mitihani. Hekima na nguvu nyibgi sana zilitumika kuzia hiyo. Hata hivyo kwa sasa Zanzibar ianajitahidi kuimarisha vyuo vikuu vyake. semper saratoga huyo mama hafai hata kulumangia !
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom