Dk. Joyce Ndalichako atosha wizara ya elimu

Dk. Joyce Ndalichako atosha wizara ya elimu

Mkuu unafaa kua waziri wa mipango, sera na majanga..,!
 
Ushauri kwa mh Rais Dk JPM. Huyu mama anafaa kabisa nafasi hiyo uliyoiacha kiporo na kutafuta mtu wa uhakika.

Huyu mama ni mama wa shoka kwa kasi yako hiyo ya hapa kazi tu yeye ndiye mtu sahihi kabisa. Naomba uliangalie hili kabla ya kuanua matanga ya mazishi ya elimu.

Nawasilisha kwako Mhe JPM.

H.E Rais Pombe naye ni member huku amesoma mawazo yako!
 
Hii thread ilikuwa ya pili kumpendekeza ndalichako ya kwanza nakumbuka mods waliiunganisha na thread frani ya mapendekezo kwa magufuli iliyoasisiwa na FOX
 
Mleta hii hoja umetishaaaaa......naona waluokuwa wanakuzodoa ss wameingia uvunguni kimya kimya.
 
Maghembe ni gunia la misumari,Magufuli atalitua tu maana halibebeki
 
Ndalichako hafai kabisaa kwa uonevu wa kidini alioufanya akiwa katibu mtendaji saw NECTA. Ni katibu pekee aliyeweka historia ya kufuta matokeo ya wanafunzi na kufanya regrading kutokana na upendeleo as dhahir lea baadhi ya shule za kidini. Hatakiwi hata kidogo huyu mama mpuuzi kabisa asiyeficha hisiaw zake za kidini. Aendeq zake huko

Mnataka mbebwe hadi lini. Shule yenu ilifelisha vibaya mnaanza kulazimisha mambo mkaanza na fitina. Sasa amekuwa waziri hakuna lelemama tuone mtaleta fitina gani tena.
 
Uwaziri siyo mbege kila mtu anaweza kupewa.

Huyu dada ni mdini sana hafai wizara hiyo

Hafai kashindwa kuliongoza baraza la mitihani ataweza Wizara au amewatuma mmpigie debe?

Ndalichako hafai kabisaa kwa uonevu wa kidini alioufanya akiwa katibu mtendaji saw NECTA. Ni katibu pekee aliyeweka historia ya kufuta matokeo ya wanafunzi na kufanya regrading kutokana na upendeleo as dhahir lea baadhi ya shule za kidini. Hatakiwi hata kidogo huyu mama mpuuzi kabisa asiyeficha hisiaw zake za kidini. Aendeq zake huko

Hafai hata kidogo

Mdini labda kazi maalum.
Anapendelea wakristo

Aende akaongoze vigango vya kanisa. huyu mama hafai kashafelisha watu wengi kisa dini. Kama mnampenda mpiganieni naye aitwe mwenyeheri au mtakatifu kwa kazi alizozifannyia kanisa.

Ha ha ha ha ha ha....Pombe amewaweka kando na fitina zenu. Mlimletea zengwe huku mkipewa support na kaka yenu mvaa kibandiko mkajiona wanjanjaa. Sasa mtaisoma namba. Hakuna marks za bure tena.
 
Back
Top Bottom