mluga
JF-Expert Member
- Oct 8, 2010
- 676
- 215
Superman,
..wakati wake pale Sayansi na Teknolojia rushwa,udini,na ngono, vilitamalaki.
..pia aliunda genge lake la waZNZ kuminya nafasi za scholarship kwa wa-Tanganyika.
..I hope amebadilika, lakini huyu akipewa nafasi ya Uraisi na akaongoza kwa mentality aliyokuwa nayo pale Sayansi na Teknolojia, basi msije mkashangaa nchi ikisambaratika.
Nafikiri kuna mtu anaitwa MWAKALINGA alikuwa Poland miaka ya 80, anamjua vizuri saana na aliwahi kumchambua vizuri mno, huyu Bilal ni janga la Taifa akichukua, kwani hata Zenji si kweli ana kundi kubwa linalomuunga mkono