DK. Bilali Chaguo la JK Kumrithi 2015?

Nafikiri kuna mtu anaitwa MWAKALINGA alikuwa Poland miaka ya 80, anamjua vizuri saana na aliwahi kumchambua vizuri mno, huyu Bilal ni janga la Taifa akichukua, kwani hata Zenji si kweli ana kundi kubwa linalomuunga mkono

Mkuu share nasi unachokijua?

Kama hana kundi kule Zenji, tujuze nguvu zake za kuwa VP alizipataje?
 
Hapo kwenye red ndo kumenifanya nikubali kuwa wewe ni superman, akili kidogo maguvu zaidi lol!

Dogo Janja

Concentrate kwenye hoja, achana na typing errors!

Of course Superman is a Superman:

read-my-mind.jpg

superman-jet.JPG

1419598-superman2_3.jpg
 
hata kutembea hawezi, mchachaka wa uraisi ndo aweze? ana siku chache sana za kusihi duniani kwa sasa
 
Ujinga wa watu Milioni 40 wa Tanganyika kutawaliwa na mtu anayetoka kwenye sehemu ya watu laki 8 uliisha mwaka 1995 wskati wa Ali Hassan Mwinyi
 
Huyu bilali si tuliwahi kuambiana na kuaminishana hapa kwamba amewekwa pale na lowassa na rostam ili ampishe shein awe rais kule ikiwa na maandalizi ya lowassa kumrithi jk kwa kuwa shein alikua tishio pekee kwa lowassa kutokana na uzoefu ambao angekuwa nao kama angeendelea kuwa makamu wa rais wa tanzania kwa muhura wa tatu?kweli humu ukiamini kila linalolopokwa unaweza kuchangikiwa sana.

Katika Scenario hiyo hiyo atatumiwa kama Plan B kuwa Rais na EL VP. Kisha atajuzulu katika kipindi kifupi kumpisjha EL.

No contradiction.
 
hata kutembea hawezi, mchachaka wa uraisi ndo aweze? ana siku chache sana za kusihi duniani kwa sasa

Mkuu angalia usije ukatangulia wewe!

No body knows except God.

Bilali kazaliwa 1945 kapitana na JK 5 years only.
 
Mkuu angalia usije ukatangulia wewe!

No body knows except God.

Bilali kazaliwa 1945 kapitana na JK 5 years only.

2012-1945=67 ukijumlisha na miaka 3 kumalizia umakamu atakuwa na 70yrs. mtu wa miaka 70 hata miaka 5 kwake itakuwa mzigo kwani atakuwa 75yrs. atakuwa na nguvu za kufanya ziara kukagua shughuli za maendeleo? raisi gani mwenye miaka 70 anayekubalika na watu kama siyo dikteta?
sijasema siwezi kufa, tukiacha imani pembeni, ajali na mengineyo, mimi mwenye miaka 29 na huyu mwenye miaka 67 na ana asilimia kubwa za kufa ukizingatia life span?

acha mawazo ya ajabu bwana
 
Mkuu,

Ukiangalia sasa hivi makundi yanatisha:

EL kakomaa na ziara za makanisani na misikitini na hafla mbalimbali za kuchangisha na bila ya shaka ndo njia ya kujipromote. Wote tumeona alivyomkomalia JK juu ya sakata la Richmond kuwa anahusika na JK kaufyata. Hatakubali kuukosa Urais na hakuna mwenye ubavu wa kumzuia. Imedhihirika.

SS aka 6 na kundi lake wana kete ya Mwakyembe na wameshaanza kupaka. It is a matter of time kabla hawajaamua kuwataja wahusika. Wanaendelea pia na kampeni zao za chni kwa chini. Hawa ikishindikana kama liwalo na liwe watakitosa chama. Remember CCJ.

Akina Sumaye Wanapima Upepo kwa Sasa.

Mwandosya wameshammaliza.

Salim Ahmed Salimu - Siasa za maji taka haziwezi.

Nini nkimebaki tena kwa CCM? only Bilali? Au Shein?

His age is a limiting factor, CCM wakimpitisha ni uamuzi wao ila akienda kwenye polls hakika hatashinda!!nchi inahitaji rais kijana atakayeweza kuendana na kasi ya mabadiliko na changamoto mbalimbali za kitaifa na kimataifa, a dying horse cant do these!!
 
2012-1945=67 ukijumlisha na miaka 3 kumalizia umakamu atakuwa na 70yrs. mtu wa miaka 70 hata miaka 5 kwake itakuwa mzigo kwani atakuwa 75yrs. atakuwa na nguvu za kufanya ziara kukagua shughuli za maendeleo? raisi gani mwenye miaka 70 anayekubalika na watu kama siyo dikteta?
sijasema siwezi kufa, tukiacha imani pembeni, ajali na mengineyo, mimi mwenye miaka 29 na huyu mwenye miaka 67 na ana asilimia kubwa za kufa ukizingatia life span?

acha mawazo ya ajabu bwana

Niaje Mandela? Alichukua Nchi ana miaka mingapi? Amekufa sasa?

Ronald Regan? Alichukua ana miaka mingapi? Hakumaliza muhula wake?

Kuna Marais wangapi ambao ni Over 70?

Tafakari Mkuu na hoja yako. Tanzania ya leo yenye ifisadi kila kitu kinawezekana.

Naondoka nitarudi:

superman_flying-12275.jpg
 
Ujinga wa watu Milioni 40 wa Tanganyika kutawaliwa na mtu anayetoka kwenye sehemu ya watu laki 8 uliisha mwaka 1995 wskati wa Ali Hassan Mwinyi

usiwe na fikra finyu namna hii angalia uwezo wa mtu usiangalie anakotoka, kwani huyu wa sasa hivi si anatoka kwenye population kubwa ya watu milion 40+ amefanyia taifa nini zaidi ya kuwa baba mlezi wa mafisadi?? Bilal kama hafai( na mimi naamini hivo) mtafutie sababu nyingine za kum disqualify lakini kabila dini au sehemu atokako mtu its not an issue here!!
 
His age is a limiting factor, CCM wakimpitisha ni uamuzi wao ila akienda kwenye polls hakika hatashinda!!nchi inahitaji rais kijana atakayeweza kuendana na kasi ya mabadiliko na changamoto mbalimbali za kitaifa na kimataifa, a dying horse cant do these!!

Mkuu unamkumbuka Mzee wa Uwazi na Ukweli? Nani alimkubali alipoteuliwa?

Lakini alishinda. Au siyo.

Hoja ya Umri iko sawa but wakiamua kumtumia anything is possible.
 
Niaje Mandela? Alichukua Nchi ana miaka mingapi? Amekufa sasa?

Ronald Regan? Alichukua ana miaka mingapi? Hakumaliza muhula wake?

Kuna Marais wangapi ambao ni Over 70?

Tafakari Mkuu na hoja yako. Tanzania ya leo yenye ifisadi kila kitu kinawezekana.

Naondoka nitarudi:

superman_flying-12275.jpg

hata kwa dawa hawezi penya hata kwenye kura za maoni CCM
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom